Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
wewe na avatar yako sina mashaka hata chembe...mambo lakinizomba banaa! una mawazo mbofumbofu sana! huwezi kuniona kwa sababu sizururi huko unakozururia wewe.....wenzako washaniona! waulize........!!!
Nijuwe kutongoza ili iwe nini? unataka niwe mzinifu?
Hei yangu na udomo zege wangu, wanaojifanya wahodari wa kutongoza na kutongozwa wengi kwa sasa ni waathirika wa lile gonjwa sugu. Jee, wewe unaewajuwa sana watongozaji umesha pima?
hahahahahahaha.....mhhh maisha tu ndugu yangu tunayaweka sawa. nitakutafuta best tukalipue bomu paleee kwa masela wetu
zomba mi nishakwambia sijiamini, na Mwali simfikii hata chembe . . . vipi tena unifanyie comparison nae???Hata kama yako basi ni nusu, kweli hujiamini. Mwali umpate wewe, toto la uhakika lile.
na wewe tuwekee yako, wacha porojo.
Si mpaka uwe wa kusifika.
Weka vitu tukupe haki yako.