Hakina haja ya kurekebishwa, kibaki hivyo hivyo ili kila mtu ajue mada yenyewe imeletwa na mtu mpuuzi. We picha yako iko wapi mpaka ukawatake kinadada?
Kama ndio gia ya kumtongoza Mwali basi umeshachemka. We sema mambo yako mbele zake na sio kukandia wanawake wengine. Usikute we mwenyewe unabusha, si mwinyi wewe, bisha!
Zikiwekwa wanaanza usumbufuwe mwenyewe hujiamini ndo maana ukaweka avatar ya mkuu wa nchi, hata tukiweka zetu original utasema sio kweli, waulize baadhi ya MMU member wakuambie jicho langu na mdomo wangu ukoje (sijisifii) nilishaweka hizo picha as my avatar
Ila yako nimeipenda we ndo mwenyeweKwani JF ni mashindano ya profile pics??kama ID ni fake kwanini sura ziwe original?? By the way watu ni maphotogenic hata wakliweka hapa ukaja kuwaona live utashangaa kama kweli ndio wao. So jusshatapyabigmouth .......
Ila yako nimeipenda we ndo mwenyewe
nipe nafasi basi japo nikuone moyo wangu uridhike
najikuta naanza kumpenda mwenye avatar na avatar yakehahahaha we ipende tu usiulize mengi bana.....hahaha maswali mengine ya mitegoooo
najikuta naanza kumpenda mwenye avatar na avatar yake
sasa mi hiyo ndo inanidatisha maana kuwa natural ndo inalipa zaidi si unajua mtu ukimwona kumbe nywele za brazili siku unamkuta amezivua mbona utakimbiaKama nafsi yako inakutuma kupenda kitu basi utakuwa unakipenda tu.......kiwe ndicho au sicho. inshort mimi niko natural, sina mkorogo wala manywele kama zombie
sasa mi hiyo ndo inanidatisha maana kuwa natural ndo inalipa zaidi si unajua mtu ukimwona kumbe nywele za brazili siku unamkuta amezivua mbona utakimbia
sasa si heri ukile na ufe huku umekipendaHahaha unapenda vitu natural kumbe...kumbuka sio kila kitu natural kinafaa kupendwa, vingine vikiliwa vikiwa natural vinaua
sasa si heri ukile na ufe huku umekipenda
Aaaah ile nalia?niliacha watu wanaifananisha na mimi bhanaBasi umeshinda, ila na ww ile avatar yako ya zamani iko wapi? nilikuwa naipenda sana sema tu sikuwahi kusema
Hahaha au ulikuwa umelizwa nini haha manake humu bwana ni papanaAaaah ile nalia?niliacha watu wanaifananisha na mimi bhana