Mwanaume rijali haogopi kupigwa mizinga,kuvuliwa chupi unapenda ili ku-share the portion of cake you have eh it becomes shida tena unafungua na thread kabisa jf,wanaume wa kulalama kama wewe kwenye mfumo wa survival for the fittest you will never survival.Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu,
Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu muda mchacje kabla hamjakutana unaraise invoice ya ajabu ajabu,mara gari haina mafuta kama unaweza niwezeshe,mara sim imeharibika kama unaweza nisaidie niipeleke kwa fundi nije.
Unakubali vipi mtoko kwenda kuonana na mtu ambae hamjawahi kukutana huku gari haina mafuta..
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Mabeki tatu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Inatia aibu hii kwakweli
Endelea kusaka utapata wasio hivyo
Heshima kwako mkuu, ni kweli siku hizi sie mamarioo mnatuweka mjini@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?
Imagine unamtaka aje pahala wakati hana shillingi aipate wapi? Hivi mzazi ampe hela ya pedi na nauli ya kupeleka K ukaitumbue bure? Starehe gharama kama huwezi kuigharamia kijana wa kiume acha kutongoza. Tatizo kubwa tunapenda viatu vikubwa wakati vimiguu vyetu ni viduchu. It is boring for a man to complain this wayWatu wana lifestyle za ajabu. Unasoma unabaki kujishangalia tu.
Kweli kuishi ni kujifunza na kifo ndio kuhitimu
Hawajui kama hio ndio njia ya kuwafukuzia mbali,sasa elfu 20 ni hela ya kuja kutangazia umati,na wanaohonga nyumba wasemaje..?Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
Kwangu mimi kabla hatujaonana hata kumi sitoi, tukishaonana hata useme ndege imeisha mafuta natama hela za kijaza ndege wese.
Haha,aisee wacha niwe sample space kwa niaba ya wengine...ndio tunawaweka mjini nyiee kina mario, tunawadangia kutoka kwa vibabu nyiee pokeeni tu...Heshima kwako mkuu, ni kweli siku hizi sie mamarioo mnatuweka mjini
Like Like Like@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?
Imagine unamtaka aje pahala wakati hana shillingi aipate wapi? Hivi mzazi ampe hela ya pedi na nauli ya kupeleka K ukaitumbue bure? Starehe gharama kama huwezi kuigharamia kijana wa kiume acha kutongoza. Tatizo kubwa tunapenda viatu vikubwa wakati vimiguu vyetu ni viduchu. It is boring for a man to complain this way
Maisha si madarasa ila uchangaji wa karata. Wewe pambana na vibabu ila mie nitese mjini. Mamario wenzangu hoyeeeeeHaha,aisee wacha niwe sample space kwa niaba ya wengine...ndio tunawaweka mjini nyiee kina mario, tunawadangia kutoka kwa vibabu nyiee pokeeni tu...
Umenikumbusha mbali sana. Wasumbufu sana sometimes. Mtu unamwambia ukweli no room for you yumo tu.Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
Umewahi kuhonga sh. ngapi?@ work big time,utakuta ni elfu 20 tu ya mafuta mtu anakuja kulia lia huku....mbona sisi tunazowahonga hatuwatangazi?
Hapana nimesema kwa niaba...mimi sina tabia hizo,teh bora nikanunue handbag mpya kuliko kumuhonga me...
Utatesa na ukimwi juu,usipende mteremko mtoto wa kiume shaurilo...Maisha si madarasa ila uchangaji wa karata. Wewe pambana na vibabu ila mie nitese mjini. Mamario wenzangu hoyeeeee
Nadhani hujanielewa, hebu fikiria mtoto wa kike hana hata shillingi ya kupanda daladala na wewe unamsumbua ati njoo unikute pahala au kwa kawaida mtoko wa kwanza lazima mtoto wa kike anunue chupi nyeupe. Hela hana, aidha atakataa kidiplomasia au itabidi ugharamie, usisahau tulivyo ving'ang'anizi. Wakati ukifall kwa unyayo wako (PAW) ni enzi hizo ambazo usingetuma sms.Nazidi kujifunza. Sasa huku sio kuuza k kweli unaongelea?
Mapenzi ni biashara siku hizi. Enzi nafall in love kwa paw, yeye hana hela na mie sina hela. Kumbe ukilalwa wewe haustareheki?
Kwani ndomu zimeisha ili mradi usitake nizame chumvini maana mpaka kesho hakuna ndomu ya ulimi. Baada ya Beijing ni zamu yetu kuhongwa na nyie kuhonga.Utatesa na ukimwi juu,usipende mteremko mtoto wa kiume shaurilo...
Sasa huzami chumvini wa kazi gani,pesa yangu hupati bora babu ajilie chake bila kuibiwa...teh teh mkuu tuishie hapa naona topic inabadilikaKwani ndomu zimeisha ili mradi usitake nizame chumvini maana mpaka kesho hakuna ndomu ya ulimi. Baada ya Beijing ni zamu yetu kuhongwa na nyie kuhonga.
Mbona nimeshajibuUme
Umewahi kuhonga sh. ngapi?