Kina dada this is too much kwakweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina dada this is too much kwakweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by stroke, May 29, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,370
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa maisha?? ama fasheni?? lakini kwa hili its too much..napitia kwenye ka mgahawa kupata kifungua kinywa..nakutana na binti mrembo kavalia vazi lake murua la kanga nyepesi..limempendeza kweli lakini kasoro moja kubwa..sehemu ya mapaja yooote ipo wazi..yaani unaona kila kitu unachohitaji kuona...halafu kaweka pozi mahali ambapo kila anaeingia anamuona..kumbuka si saa nane usiku wala si eneo la club?? hapana ni saa moja asubuhi na ni mgahawa mahali pa heshima..tuseme biashara matangazo..fasheni?? ama maisha magumu mpaka imefikia hatua ya kuifanyia miili aliyotupa Mungu kama vitega uchumi?? Kina dada hembu mjiheshimu japo kidogo..tunawapenda sana maana nyie ni mama zetu..na tunajisikia vibaya sana kuwaoneni uchi kila wakati sana sana nyakati za asubuhi kama leo..
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ulimwona DADA MMOJA au wadada wooooooooooooooooooooote wakijianika?
  kila mtu na kichaa chake UENDA ULIYEMWONA KICHAA chake ndiyoicho....
  ungemwambia km vip kaa vzuri
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama uliguswa sana mbona hukumwambia 'dada this is too much kwakweli'????!
   
 4. biggirl

  biggirl Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi ndio wanyonge wako eeeh??ungemuanzia tu kistaarabu nayeye angewafikishia salam wenzie wenye tabia hiyo
   
 5. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Umemuona dada mmoja unasema kina dada na ukiwaona kina dada utasemaje??
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu ili kuwa asubuhi naweza kusema alikuwa kikazi zaidi jana yake,hivyo asubuhi hii aliwakuwa akaachia hewa ndani kwenye nanii...!
  Ila kiukweli wabongo wamebaki kuja kutembea barabarani na vichupi.
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  mmh! Lizy humtakii mema mwezio eenh, amwambie aambulie mitusi!
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Hiviii, nikumbushe; Mungu alivyotuumba alituumba na nguo? Nini chanzo cha kuvaa nguo, dhambi eeh! Hivi watoto wachanga wanahangaika na nguo? No way! Why? Coz they are innocent; na Malaika wanavaa nguo? Sidhani. Hivyo mimi nadhani huyo dada anaekea kwenye umalaika, na mwenye dhambi ni weye ambaye ukiona uumbaji wa Mungu (mwili) unawaka tamaa, ila ukiona uumbaji wa binadamau (Minguo unasuppress mitamaa yako).

  Dont tell them how to dress; tell your heart to stop tamani!
   
 9. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,370
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..
   
 10. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  there is a fine line between dressing sexy and dressing trashy... r u sure she was the latter?
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  So na watoto wachanga nao ni angels of devils?

  Nikuulize, kwani dada akiacha mapaja yake nje kuna shida gani? Na hiyo shida ni kwa nani?

  Wanaume wakiacha mapaja na vifua vyao nje kuna shida yoyote? Na ni kwa nani?
  Tuanzie hapo kwanza. Na kama tunaamua kutumia mila, then lets go prior Christianity and Islamic era.
  Na kama tunatumia dini tukubaliane tunatumia ipi?
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwani huyo dada yupo jei efu???
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​ni9a yako ulikuwa unataka kuyaona hayo yote.................PIGA KIMYA.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nia yako ilikua kuyaona hayo yote????
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Njaa ndugu...
   
 16. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  hicho kitabu ulichosoma kinacha justify kuwa mtu kutembea uchi ni malaika kakichome moto, maana utahukumiwa nacho:
   
 17. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  jamaa nadhani kaona hadi utumbo, maini nk. hii hatari sana
   
 18. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  MUNGU mweyewe aliwafanyia nguo Adam na Hawa kwa kuchuna ngozi ya mnyama dada nadhani hiyo siyo biblia unayosoma
   
 19. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kale ka wimbo ka hosein machozi ulishaicheki video yake.narudi jelaa.
   
 20. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mkiguswa mnakuwa wakali.kwani ni siri?
   
Loading...