Kina Dada ni ya kweli haya....?

Yes sir...!Hehehe sijawahi kupika mlenda orijino ila kama hutomaind ukiwa wa bamia ntakutengenezea mtamu ajabu!
Nipo hapa naangalia huu ushemeji wa mlenda ndembendembe.
Nipo, japo not under a mango tree.
 
Hehehe..nlidhani unakuja na shemeji mwingine.Mmh alafu ili nisiboreke njoo na yule mdogo wako mcute sana!
Nitakuja nae yule mabinti wanamsumbua sana hawaishi kuja home ngoja nimlete kwako walau akae for a month.
 
Hehehe..nlidhani unakuja na shemeji mwingine.Mmh alafu ili nisiboreke njoo na yule mdogo wako mcute sana!
Shemeji mwingine tena wee thubutu wakati kwa ndugu yako mimi nimefika mwisho wa reli pale lol
 
Shemeji mwingine tena wee thubutu wakati kwa ndugu yako mimi nimefika mwisho wa reli pale lol

Afadhali maana ungeondoka na mlenda kwenye nguo...lolz!Hehehe kama ndo hivyo simtaki maana hapa nilipo nna presha tayari!Embu nitafutie wakunifaa basi na mi niringe kama nyie!
 
Back
Top Bottom