Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Wewe si ndiyo umemtokea mwenzako? Umemtokea kakubali, halafu tena wewe mwenyewe unaanza kulaumu kuwa ni maji mara moja, ulitakaje sasa? Au ulikuwa unatishia nyau mwenzio kafungulia mbwa? Haya mzigo huo sasa sijui utaupeleka wapi! Kazi kwako na uwe makini na UKIMWI.
Na nyie akina dada, jaribuni kujiheshimu, wengine wanatishia tu kama huyu. Si kila unachoambiwa unakubali. Unamkubalije mtu wakati na wewe una bf wako? Kuweni makini!
mbona unageneralise?Yani kweli sikuhizi wanawake
nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada
nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi
amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema
sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu
..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf
wake...
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...
kwani anakutafuta akupe k? maybe kuna kitu anakuuliza...wanaume bwana?Acha huyo kuna mwingine nilikutana nae maeneo ya udsm ijumaa nikachukua namba nilichokosea nikambip apate yangu,, sasa anavyonitafuta text na calls kibao wakati sijapanga kumtafuta kabisa, niliwaza mwenyewe wakat naingia kwenye gari nikaamua simtafuti tena, but anavyonisaka yeye sasa ni balaa...