Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Ila mie nikimpenda mtu namtumikia na wala sichoki. Hadi nikimalizana na mapenzi nakiuliza zile nguvu za kutumikia nilizipata wapi! I can bake a fresh cake kila wikiendi na home made bfast daily hehehe. Sijui niliwekewa limbwata! Ila nikiacha kupenda hata kupika chai ya rangi using a tea bag naona naonewa!
Ukiona mwanamke yuko hivyo, sijui anaishije

Ndio maana mie kuna siku niliuliza, ukiolewa na baresa huna haja ya kufanya kazi?
 
Kuolewa Utumwa tu.
Heri nikae kinyumba na mshkaji hadi miaka mia, lakini asinioe.
 
mutu kaolewa mume yake tajiri sana huyo muke yeye hafanyi kazi na hata kijiraum hana anapigwa na jua kazi yake kupika muchuzi na chapati zilizoungua.
Kwenye handbag hata kijilaki hana kazi yake kuagiza migalaxy.
Mama yake anashida sana hamsaidii.
Huyu kaolewa kaajiriwa kuzaa na kupika muchuzi au ni mutumwa?

Hafanyi kazi na bado ana kazi?
 
Ni kufuata kile ambacho huwezi kukipata kwa wazazi wako ama ndugu yako yeyote ila mtu back mwaweza share
 
Ila mie nikimpenda mtu namtumikia na wala sichoki. Hadi nikimalizana na mapenzi nakiuliza zile nguvu za kutumikia nilizipata wapi! I can bake a fresh cake kila wikiendi na home made bfast daily hehehe. Sijui niliwekewa limbwata! Ila nikiacha kupenda hata kupika chai ya rangi using a tea bag naona naonewa!

hahaha umetisha!
 
Ni ajira kwa wale waliopo kitaa hawana mbele wala nyuma then anatokea man mwenye chapaa zake anamweka ndani ila kwa mwanamke mwenye maisha yake kwenye mstari ni utumwa na kuharibiana dira ya maisha
 
Okey Heaven on earth, wakati mwingine ni vizuri kujifunza kile mtu ambacho yeye mwenyewe ana uzoefu nacho kuliko yale ya kusikia. Kwahiyo once I know its personal then ninakuwa na maswali ya kujifunza. Kama ni swali linalokukera, you just say, hutaulizwa tena

kama kuna watu ambao hawajawahi kunikera hapa jf ni pamoja na wewe Mokoyo so worry not......
 
Last edited by a moderator:
kaolewa bt anachokifanya ni ulimbukeni na ushamba kwasababu kuoa au kuolewa akulazimishwi ni maamuzi ya mtu binafsi
 
Kama utakuwa unakaa na kidiscuss maisha anayoishi mwenzako daima utabaki hapo hapo huku mwenzako akiendelea kufanikiwa siku hadi siku.

Kwani umeambiwa kukaanga chapati siyo kazi? Chamsingi ni jinsi gani mtu huyo anaweza kubalance faida yake anayoipata katika hicho kidogo anachokipata.

Unaweza ukawa unalipwa million 3 kwa mwezi lakini usiwe na mafanikio yoyote yale, ukaishia kuponda mali wakati mwenzio anayepata faida ya sh.15000 kwa kila siku ila akawa amepiga hatua ile mbaya.

Tunachoangalia hapa ni jinsi gani huyo mtu anavyoweza kuipangilia pesa yake anayoipata.

nadhani hujamwelewa, mwenye sred yake
 
Ni mapenzi lakini ukiendekeza dhiki zako ni utumwa kupitiliza kiasi cha kuwa ajira bila pensheni.
 
ahaaaaa haki nitakufa mbavu zangu mie huyo small house ananiacha hooi
Hahahaha. Yaani nimecheka utasema mazuri!
Sasa anaunguza chapati akiwa busy anafuatilia 'mchezo' ama bongo movie?
Hahahaha, you made my day.

Sumu ya ndoa bwana ni ugolikipa. Financial dependency is a No-Go zone kwenye mahusiano hata ya kindugu!
 
mutu kaolewa mume yake tajiri sana huyo muke yeye hafanyi kazi na hata kijiraum hana anapigwa na jua kazi yake kupika muchuzi na chapati zilizoungua.
Kwenye handbag hata kijilaki hana kazi yake kuagiza migalaxy.
Mama yake anashida sana hamsaidii.
Huyu kaolewa kaajiriwa kuzaa na kupika muchuzi au ni mutumwa?

Du Hapa kuna bifu c bure halafu hiyo lugha ni kimatumbi au?
 
alichomaanisha eti kuna huyo mwanamke hafanyi kazi,hajishugulisha yeye ni golikipa
kazi yake ni kumpikia mume chapati na chapati zenyewe zimeungua..

nimemuambia mwanamuke NSSF mjini mushahara hata kupanua miguu anapata.
yeye haelewi mie namuwacha final muzeeni
 
Back
Top Bottom