Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,101
- 165,296
Nahitaji kuongeza mume
kumbe kuna MISS na MR NATAFUTA humu . ..... ooh haya nisije kuambiwa mchochezi bureee
Ngoja nmuite Miss Natafutana huo ni uchochezi + + +
Basi kuku jike/ tetea upandwa na dume lolote lile, na hata na mtoto wake, mjukuu wake.
Kama unataka kulinganisha wanyama na binadam.