Kina dada acheni unafiki

Kina dada acheni unafiki

Habari ya wakati huu wakuu.

Kina dada haiwezekani nyumbani kwenu au kwako ufurahie jogoo mmoja au uone ni sawa jogoo mmoja kua na majike(maetea 10) katika banda lake au dume moja la ng'ombe kua na majike 5 alafu ulalamike mume wako kua na mchepuko.

Huo naiuita unafiki, mbona majumbani kwenu hamfugi jogoo kumi na majike kumi badala yake mnafuga jogoo mmoja na majike 10 na hata mgeni akija magojoo ndio huchinjwa na kuacha moja au kuuzwa kwa imani kwamba moja litatosha kuudumia matetea kumi.

Acheni unafiki ndugu zangu, watendeeni waume zenu sawa na mnavyoyatendea majogoo au madume ya ng'ombe au mbuzi katika majumba yenu.
Hahaha kuna namna apa.
 
Hili ni tatizo, tena kubwa. Nami nakupa pole sana mleta mada
Kama umefikiria kufananisha maisha ya binadamu na mifungo, kama kuku, na kuona sawa.

Je, wataka kusema maisha ya mifugo kumpanda mzazi wake au mwanae kwa binadamu ni sawa?
 
Kuwa jogoo tu nawe ukafaidi.
Kuna sababu iliyopelekea binadamu ukatofautishwa na wanyama 'utashi'sasa kama imefikia hatua unatamani kuwa mnyama basi hali ni tete.
 
Si kila mtu anaakili kama unavyofikiria, wako wanaume ambao wameridhika na huyo mke mmoja na hawachepuki,
Mngetoa tu ushauri walau kulikoni unafki wa kuchepuka( kwa wachepukaji) heri wasioe mwanamke mmoja japo pia haizuii kutoka nje. Ila wapo nna hakika walio tulia kwa wake zao kiroho safi!
Kuna waliooa wa4 na bado wanachepuka, hao pia sijui wanawaongeleaje?
 
wakristo wapo kupinga maagizo ya Mwenyezi Mungu siku zote inhali wanaishi kwa unafiki.Mwanaume hawezi kuwa na mke mmoja maishani
yaani mwanaume amuingilie mwanamke mmoja tu adhabu yake ni moto wa milele jehanamu
Mhhhh
 
aisee e

ebu shika adabu yako hapo kwenye UDINI utaingia kitanzini sasaivi.... si kila jambo lazima uchangie mengine unapita tu km huna jipya.
 
exa
Nafikili tatizo lililipo hapa ni kwamba unashindwa kutofautisha kati ya binadamu na kuku au na viumbe wengine.
Nashangaa wewe binadamu unataka kuishi sawa na mbwa ama paka hii inaonesha ni jinsi gani binadamu hatambui thamani yake
Pole sana mkuu kwasababu umeshindwa kujitambua wewe ni nani.
ctly huyu ataluwa na homon za MBWA
 
mtoa mada nakuhurumia sana una homon za binadamu 10% na za wanyama 90% hivo usiipotoshe jamii kwa uathirika ulio nao.
 
Husifananishe kuku na binadamu!
Ukiwa na akili hiyo basi usidhani kua na mkeo atakua na jogoo mmoja tu. Idadi ya wanawake na wanaume duniani imepishana kidogo tu, sa piga mahesabu kwa mfano tu... Kukiwa na wanawake kumi na tano na wanaume kumi, kila mwanaume akiwa na wanawake watatu, unadhani wanawake watakaokua na mwanaume mmoja watabaki wangapi?
 
nilikuja huku kutafuta mume wa kunioa mke wa pili nikarushiwa mawe mimi ni mwanamke ninaeunga mkono ndoa za kiislam za wake wengi
Nilivomuelewa huyu ndugu ninkwamba anazungumzia michepuko na sio ndoa! Ama nimekosea!?
 
Mwanaume huwezi kua na mwanamke mmoja sio mama yako. Unafiki ni mbaya sana heri sisi ambao tunasema mungu hayupo kuliko wanafiki wanaosema mungu yupo na hawafuati maagizo yake ya kuwataka kua na mwanake mmoja na mmoja pekee.
Sasa kuoa wake wengi ndo kumjuaa mungu hakuna anaejuaa we amini unacho kiamini mungu ndo atatoaa maamuzi cku ya mwishooo yupi yupo sahihi yupi ameenda kinyumbe plz wait and see
 
Husifananishe kuku na binadamu!
Ukiwa na akili hiyo basi usidhani kua na mkeo atakua na jogoo mmoja tu. Idadi ya wanawake na wanaume duniani imepishana kidogo tu, sa piga mahesabu kwa mfano tu... Kukiwa na wanawake kumi na tano na wanaume kumi, kila mwanaume akiwa na wanawake watatu, unadhani wanawake watakaokua na mwanaume mmoja watabaki wangapi?
Mkuuu umenenaa wengine wanacomenti huku akili ikiwa chini ya kitovuu
 
Wanawake wengi wa nn wakati nyama ni ile ile mtamaliza mabucha bure!!
 
Mim nataka kua na wanawake wengi na watoto wengi ili nianzishe ukoo wangu kama walivyofanya wazee wa zamani.Umate mate tu ndo bado haujakaa sawa.
 
Hili ni tatizo, tena kubwa. Nami nakupa pole sana mleta mada
Kama umefikiria kufananisha maisha ya binadamu na mifungo, kama kuku, na kuona sawa.

Je, wataka kusema maisha ya mifugo kumpanda mzazi wake au mwanae kwa binadamu ni sawa?
huyu anaweza kufanya hivyo kwa hatua alio fikia mana so asanehewe bure tu japo wapo wa aina hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom