The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Habari ya wakati huu wakuu.
Kina dada haiwezekani nyumbani kwenu au kwako ufurahie jogoo mmoja au uone ni sawa jogoo mmoja kua na majike(maetea 10) katika banda lake au dume moja la ng'ombe kua na majike 5 alafu ulalamike mume wako kua na mchepuko.
Huo naiuita unafiki, mbona majumbani kwenu hamfugi jogoo kumi na majike kumi badala yake mnafuga jogoo mmoja na majike 10 na hata mgeni akija magojoo ndio huchinjwa na kuacha moja au kuuzwa kwa imani kwamba moja litatosha kuudumia matetea kumi.
Acheni unafiki ndugu zangu, watendeeni waume zenu sawa na mnavyoyatendea majogoo au madume ya ng'ombe au mbuzi katika majumba yenu.