Kimzaha mzaha

Mimi ikitokea nilikuwa nategemea kuzungushwa nikakubaliwa haraka bila hata kipingamizi stimu zinakataga.

Ila kuna ile una nyege na unataka fasta akizingua nyege zinaisha na humtafuti tena, hata akianza kukutafuta baadae huna muda.

Ila braza si umeoa wewe..?

Au?

πŸ˜€πŸ˜€
 
Ha ha ha, nimeoa mkuu, unajua mwanaume hata kama umeoa kutongoza ni culture!

Action ndo kosa.
Hahah sometimes unapiga sound tu kupima kama vocal-skills na ujanja visije kuexpire

ukizuia sana tongozo unaeza kuta unalidosha kanisani meen practise make perfect!
 
Mm uwa nakusumbua mpk siku nakubali huwezi amini
 
Mm uwa nakusumbua mpk siku nakubali huwezi amini

Halafu wewe...mbona kama nishawahi kukuona sehemu?

Jina lako la ubatizo wa JF nani?

Manake huo mwandiko si mgeni kabisa.
 
Hapo chale lazima zikucheze. Kumbe tuko wengi tusiopenda hali hii eh! Hahahaha lol! hukawii kuaga na ukisepa ndiyo kimoja.

Hahaaa rafiki...sasa mtu unaitwa bebi wakati hata jina lako halijui?

Hutastuka kweli?

Jamani bebi twende basi tukakae pale kwenye kivuli...bebi tuagize chakula basi mi nna njaa....

Stuka my friend...stuka.
 
Mkuu Nyani Ngabu
Umenikumbusha mbali.
Mimi ilikuwa usiku wa x-mass tukiwa tunaelekea kanisani kama grup la watu 8, ambapo miongoni mwetu kulikuwa na mtoto mmoja mbaye nilimwinda kwa siku nyingi bila bahati. Mtoto huyu tuliseparate baada ya mimi kuhama nikiwa form one nikahamia dar na yeye alihamia arusha. Kama kawaida ya kabila fulani ikikaribia sikukuu ya x-mass nikwenda kusalimia kwao.Hasa siku hiyo majira ya saa nne usiku tukiwa tunaelekea kanisani huko kijijini kwetu wakatokea watuambao walitutisha ghaflaa wakiwa wamejibanzaa lwenye kichakaa. Si unajua uogaa bhanaa kila mtu alikimbbilia sehemu anayoijuaa. Bahati nzuri mtoto huyu alinishika mkono tukajikuta tumekimbiaa upandee mmojaa. Tulikimbia kama mita 200 hivi ndipo tukasimama na kugundua tulikuwa tunatishwaa.

Aya bhanaa safari ya kuelekea kanisani ilikuwa yetu wawili, kama ujuavyoo njembaa nilikuwa nimempaniaa mtoto kama Mbowe na UKUTA. Mbaya zaid mtoto alikuwa tayari kajawa na uoga hivyo alikuwa ananing'ang'ania mkono mara shati, nami bila aibu nikamzungusha mkono wangu kwenye mgongo wake na safari ikawa inaendeleaa. Baada ya kujuaa safari inaweza isifike kanisani nikatafuta njia ndefu ambayo mara nyingi watu hawaipendi kutokana na kuwa na kilima.

Mtoto taratibu mapigo ya moyo akaanza kwenda mbioo na kuhema kama mbwa anayepigwaa na jua kali la saa 7. Taraatiibu mwanaumee mkono ukawa unasogeaa sehemu zake za juu. Chakushangaza mtoto wala hakujigusaa wala kuzuia mkono wangu, nikasemaa leo mbuzi kafa kwa muuza supu, bila kukpepesaa ilibidi nimsimamishee na kuanza kuutafuta mdomoo.

yaliyotokeaa anajua mungu na Shetani wakee.
Kwasasa ameolewaa mwezi uliopita ndipo alifanikiwa kuipata namba yangu baada ya kupoteana kwa miaka mi 5.
Hawa watoto wa kikee bhanaa huwa hawana ujanja ukiwabananishaa. Akili zao hujirudi baada ya habari kuishaa.
Nawapenda sanaa
 
Halafu wewe...mbona kama nishawahi kukuona sehemu?

Jina lako la ubatizo wa JF nani?

Manake huo mwandiko si mgeni kabisa.
me mwnywe na hamu ya kukuona [emoji23] [emoji23] nikikumbuka body yako
 
Polee
 
Maharage ya Mbeya hao...!!

Mama huruma, chips kuku, mlenda mlenda, akishikwa to kalowa... mguu kwao kwenda hewani sio shida...

Kama wa pwani, wee, fasta uh nakula hata haulizi umenawa..!!

Wapo wapo tu... ndio hivyo...

Tuoneen huruma si kwa majina hayo [emoji134] [emoji134]
 
Ama kweli watu mna bahati zenu aiseeee.....[emoji15] [emoji15]
Mbona mimi sijawahi kuokota panzi alie dondokea kwenye fungu la siafu....[emoji39] [emoji39]
Njoo mjini mzee wa ushirombo utapata hizi bahati.

Kimzaha mzaha tu. Ila jipange kwanza maana hawa mabinti
 
Ndio maana niliacha 'flirting' kabisa, wewe kunafanya utani mwenzako anasema ' nakuja kukupa utamu'..teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…