Kimzaha mzaha

Kimzaha mzaha

Acha tu. Nina udhaifu wa aina hii, na sijui naushinda vipi.

I'm a flirt. A serial one. Kimchezo mchezo huwa najikuta nimebananishwa kwenye kona ambazo sielewi hata tumefikaje. Na kujitoa inakuwa mziki.

Nilikuwa nadhani nikifika umri nilio nao nitakuwa na control juu ya hii mambo, ila wapi. Hali ndio kwanza inazidi kuwa mbaya.
 
Duh...zinatokea hizi! Namkumbuka mmoja wakati nikiwa bachelor (karibu miaka 20 iliyopita). Tulikuwa tunaonana tu mtaani lakini kila mtu hakuwa na time na mwenzie. Sasa kuna siku ikatokea (niite bahati mbaya tu) akaja nyumbani kwangu kwa ajili ya shida fulani. Akamaliza kilichomleta, tukapiaga soga za hapa na pale akawa anaaga, na mimi kwa matani tu nimuuliza kwa nini asilale tu maana ninacho kitanda cha wageni.....kabla hajajibu wote tukacheka kuashiria kuwa ni mzaha tu....lakini baada ya kicheko akanipa jibu akisema "siku nyingine", nami nikadakia, "lini?" kwa mshangao wangu akajibu "wikiendi ijayo". Na kweli hiyo wikiendi ijayo akaja kulalia "kitanda cha wageni".......na kilichoendelea ni historia sasa!

Lakini kwa hili na mengine mengi, nilicho jifunza ni kuwa mara nyingi wanaume kwa kutojua tunadhani sisi ndio tumepata, kumbe tumepatikana (i.e. mara nyingi kiukweli ni sisi ndio tunakuwa tumeingia kwenye mitego ya wadada!).
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Sasa wewe ungependa uitwe bebi baada ya muda gani! 24 hours?Kishakupenda haoni shida kukuita bebi.

Mi nishawahi kuitwa bebi ndani ya dakika moja.

Halafu akataka na kujimilikisha kabisa.

Nikamwambie wewe...hebu tulia kwanza.
 
Duh...zinatokea hizi! Namkumbuka mmoja wakati nikiwa bachelor (karibu miaka 20 iliyopita). Tulikuwa tunaonana tu mtaani lakini kila mtu hakuwa na time na mwenzie. Sasa kuna siku ikatokea (niite bahati mbaya tu) akaja nyumbani kwangu kwa ajili ya shida fulani. Akamaliza kilichomleta, tukapiaga soga za hapa na pale akawa anaaga, na mimi kwa matani tu nimuuliza kwa nini asilale tu maana ninacho kitanda cha wageni.....kabla hajajibu wote tukacheka kuashiria kuwa ni mzaha tu....lakini baada ya kicheko akanipa jibe akisema "siku nyingine", nami nikadakia, "lini" kwa mshangao wangu akajibu "wikiendi ijayo". Na kweli hiyo wikiendi ijayo akaja kulalia "kitanda cha wageni".......na kilichoendelea ni historia sasa!

Lakini kwa hili na mengine mengi, nilicho jifunza ni kuwa mara nyingi wanaume kwa kutojua tunadhani sisi ndio tumepata, kumbe tumepatikana (i.e. mara nyingi kiukweli ni sisi ndio tunakuwa tumeingia kwenye mitego ya wadada!).

Duh!

Kumbe wahanga tupo wengi aisee.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Usijambishe kuangalia mshipa kama hujajiandaa kwa matusi.
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Sasa wewe ungependa uitwe bebi baada ya muda gani! 24 hours?Kishakupenda haoni shida kukuita bebi.

Hahaaa rafiki...sasa mtu unaitwa bebi wakati hata jina lako halijui?

Hutastuka kweli?

Jamani bebi twende basi tukakae pale kwenye kivuli...bebi tuagize chakula basi mi nna njaa....

Stuka my friend...stuka.
 
Salaam wadau,

Hebu tuachane kidogo na mambo ya UKUTA. Huo uliporomoka jana baada ya kuwashwa kwa tingatinga.

Sasa bana, ni hivi...na hapa nazungumzia kwa wanaume ingawa hata kwa wanawake inaweza kuwepo.

Inatokea unakutana na mtu sehemu. Mnabadilishana namba na nini nini...si unajua tena siku hizi mambo ya haya mamitandao ya kijamii. Sijui twita, instagramu, na ushuzi shuzi mwingine kama huo.

Mkishabadilisha hivyo mnaanza kuchati kikawaida tu. Mara mtu unaamua kujaribu kutongoza. Kimzaha unamuomba mtoke. Wewe hapo unadhani mwenzio atakukatalia, kwa hiyo unakuwa tayari ushajiandaa kusikia 'hapana'.

Basi unarusha ndoano yako. Unamuomba mtoko. Kabla hajakujibu, unakuwa na shauku ya kuona jibu lake licha ya kuwa unahisi atakataa.

Mara jibu hilo, linaingia. Unalisoma...mwenzio kakubali. Unapigwa na mshangao kwanza...maana ulikuwa hutegemei akubali.

Unaanza kuwaza sasa ujipange vipi maana kumwambia kuwa ulikuwa humaanishi huwezi.

Ila ndo hivyo tena, mwenzio kakubali na wewe unakuwa huna jinsi, unajipanga.

Siku ya mtoko inafika, mnakutana, mnaendelea na mambo yenu.

Mbele ya safari mtaamua wenyewe itakuwaje.

Mpo ambao imeshawahi kuwatokea hivyo?
Huo mchezo huwa nashinda kika cku hv kesho mtoto atanipokelea maeneo ya kimara mwanzo wa mwendo kas tukafanye yetu sita kwa sita
 
Hainaga shida kama mwenyewe atakubali na mgegedo lazima uwepo tu.
 
Chips funga hii ipo sana kwa wanawake na wadada wa mbeya
 
tukiwakataa mnasema tunaringa
mwanaume wa ktz ?????????? ndo maana hamuendelei
 
When it comes to that, I'm a male version of Kasinde on steroids. I got that mack, it scares the shit outta me.

Mmmhhhh did you call me just for expressing what you said or to alert Kasie up here regarding the thing. .... (kidding. ... don't take Kasie serious )
......... if I get you ryt.... so you are like Kasie when it comes to the thing. ... eehhh.... mmmhhh....

I have just wear my lens glasses.....

Hey missing you.... am very far away right now, if I were near you..... ningekuteka - ningekuchukua mateka kwa usiku wa leo. .... na kukuachia asubuhi ukiwa battery low....... on this issue... am not kidding

Wink!!
 
Back
Top Bottom