Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.
Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.
Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.
Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.
Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.
Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.
NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.
Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .
Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.
Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.
Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .
Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .
Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .
Nawatakia Furahi Dei Njema.
Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.
2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco