Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Yapi yamefanyiwa harambee mkuu? Pasco ana hoja hapa.
 

Point mkuu, umetema "mayai" matupu tena ya kuku wa kienyeji na yaliyokaangwa kabisaaaa tayari kuliwa!!

Na nadhani haya ndiyo yanamfanya ajifiche ndani kujiuliza na kutafakari kwa kina juu ya atokako na aendako, jambo ambalo ni jema tu!!

Unajua ndugu, huyu Mungu wetu aliyehai, kamwe huwa hadhihakiwi?

Ni wazi kuwa Mungu kaamua kumfunga shetani kwanza asimsogelee kabisa "mtukufu" wetu na kumruhusu roho mtakatifu pekee awe katikati yake huku akiwa amewekewa kioo kikubwa kikiya - reflect yote yaliyoamuliwa, kutendwa na kutamkwa naye directly au indirectly na wasaidizi wake tangu Desemba mwaka jana mpaka juzi kule Zanzibar na impact yake katikati ya wana wa Israel (wananchi!)
 
Pasco,

Yesu alisema msinililie mimi bali zililieni nafsi zenu na za watoto wenu........ najiandaa kwenda kwenye mkutano mkubwa wa kimataifa hivyo lazima nijiweke vizuri ntasema nini na kwa lugha ipi.

ni hayo tu
 
upo sahihi ndugu
 
Hahaa nimeona hadi Mwanakijiji nae anauliza kuna nini?

naona labda kuna kitu 'very serious' going on...

Labda .........vipengele vya sheria vinatazamwa kabla ya tamko..

labda.....
Labda ameanza kuwa msikivu, wamemshauri anyamaze labda!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…