Kimtokacho mtu ndicho kilichoujaa moyo wake

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,203
157,376
Malori!!!
Lori!!!!
Biblia husema kimtokacho MTU ndicho kilichoujaza moyo wake.
Malori yana kawaida ya kuendeshwa na dereva mmoja tu iwe yale ya safari fupi au ndefu,tofauti na mabasi ya safari ndefu ambayo huwa na madereva wawili!!!
Malori huwa na KONDAKTA mmoja tu wakati mabasi huwa na makondakta wawili au kadhaa!!!
Mwisho na muhimu sana, malori hayabebi WATU yanabeba MIZIGO!!!
Dereva wa basi linaloenda Mbeya,abiria wakifika Chalinze wakachepushwa kwenda Arusha watahoji, lakini kamwe MIZIGO haiwezi kuhoji hatma ya safari yao!!!!

Hili nalo neno:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Utaiva tu, mnaimba nyimbo za kutukana Rais halafu unaleta riwaya hapa. Lori loriii, wewe acha tuinyooshe nchi, hutaki ondoka nchini.
 
Bujubuji kweli umenena .Jamani tuzidi kumlilia mungu kwa haya yanayotamkwa na viongozi wetu.Nina amini iko siku mungu atatenda.
 
Kuna miungu ndani ya viongozi wetu tunahitaji maombi!!Hili la malory ni udhalilishaji mwingine wa kijinsia,maana ng'ombe ndo hupakiwa kwenye malori au mizigo.sasa watahoji nini!!?
 
Kuna miungu ndani ya viongozi wetu tunahitaji maombi!!Hili la malory ni udhalilishaji mwingine wa kijinsia,maana ng'ombe ndo hupakiwa kwenye malori au mizigo.sasa watahoji nini!!?
 
Malori!!!
Lori!!!!
Biblia husema kimtokacho MTU ndicho kilichoujaza moyo wake.
Malori yana kawaida ya kuendeshwa na dereva mmoja tu iwe yale ya safari fupi au ndefu,tofauti na mabasi ya safari ndefu ambayo huwa na madereva wawili!!!
Malori huwa na KONDAKTA mmoja tu wakati mabasi huwa na makondakta wawili au kadhaa!!!
Mwisho na muhimu sana, malori hayabebi WATU yanabeba MIZIGO!!!
Dereva wa basi linaloenda Mbeya,abiria wakifika Chalinze wakachepushwa kwenda Arusha watahoji, lakini kamwe MIZIGO haiwezi kuhoji hatma ya safari yao!!!!

Nakuunga mkono mkuu.
 
Back
Top Bottom