kimoja kimoja tu

kimoja kimoja tu

wanaume wa daa hua wanakula na ndimu na chumvi

Sasa hindi litoke iringa had dar ladha yote imeisha, tofautisha na yule anayevunja shinani na kulichoma papo hapo
 
Ya Dar balaa! Bila ndimu na pilipili pembeni huli, wanaume wa Dar tusile haya.... ndo maana tunatishwa na panyaroad! Hayana nguvu... kikikikkkkk!
 
Leteni dada zenu waje watufanyie utafiti kama kweli hoja yenu ipo sahihi
 
Back
Top Bottom