nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,508
- 3,429
Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha pesa ili ikatokea umefeli upande huu upande wa pili bado unaendelea kukupa matunda.
Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.
Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.