tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Kwa mujibu wa vitabu takatifu Quraani, injiri,torati,hata zaburi, vinaeleza kuwa mwenyezi mungu alimuumba mwanadamu katika vipimo hivi urefu mita 60 na upana mita 7 angalia jinsi mtu huyu alivyokuwa wa ajabu ni sawa na basi hilo ukilisimamisha ! Sasa tunilinganishe na wanadamu wa leo , vipimo hivyo ndivyo alivyokuwa navyo baba yetu ADAM .mwogope mungu ndugu yangu sali