Kimo cha mwanadamu kinapungua siku hadi siku

Kimo cha mwanadamu kinapungua siku hadi siku

Hapa jamaa umeua! Cha kushangaza unawalazimisha watu kuamini. Hakuna anayekuamini hata mmoja?
 
duu mimi nimeanzisha hii thread nimebaki kushangaa watu wanavyozama chimbo yaani hili ndilo kaburi la ibrahim mbona mrefuuu hivi

Sasa mkuu Ibrahim alikuwa wa kawaida tu! Kuna Jamaa aliitwa Zurkannain na mwengine aliitwa Juja wa Maajuja, [i hope you are Muslim. Aren't you? nenda Quran 18: 83-42] hao jamaa walikuwa warefu kupitiliza, Juja wa Maajuja aliweza kupita baharini kama wewe unavyopita ktk vidibwi vya maji siku za mvua! Bahari ikimfika magotini!

Afu Ibrahim aliishi miaka mia tisa na khamsini! Kipindi hicho ukifa na miaka 300 mzazi wako analia sana, eti kitoto chake kimekufa!

Now a dayz ukifika miaka 45 huna lako tena, watoto wa mjini wanasemaga 'Kwishiney'! Na hiyo ni kwa me! Ke ukipata 30 na kwa wale wenzangu na mie 25 tu kwisha habari yako! Apo hujagusia tamaduni za jamii wanaooana mapema kama Pemba kule! na ule uzazi wetu wa 'mbona kunlala' Mungu asaidie tu lakini ukipata 20 yako tayari mwili umeparaganyuka sijui hata nikuekee mfano gani wallah!
 
Ni kweli kabisa watu wa zamani walikuwa wakubwa sana
 
Mleta uzi sikukatishi tamaa ila ujue unaleta uzi kwa watu wenye viwango tofauti vya uelewa. Kama kazi yako ni dini basi kawadanganye vizuri hukohuko. Mita 60 na hicho kibasi wapi na wapi?
 
mkuu ulimaanisha mita au sentimita......maana bado sizioni hizo mita 60 za hilo basi...
 
5195.jpg
2302.jpg

Duh umetisha bro kwa ushahidi murua huu.
 
hivi unadhani mungu aliumba mtu mdogo kama wewe! Wewe tazama yale pyramid ni kazi za watu leo hii kiumbe gani kinaweza fanya vile ujihoji tu

unajua ukubwa wa airbus A380? Imeundwa na watu gani? Wa zamani?
 
View attachment 175706 Kwa mujibu wa vitabu takatifu Quraani, injiri,torati,hata zaburi, vinaeleza kuwa mwenyezi mungu alimuumba mwanadamu katika vipimo hivi urefu mita 60 na upana mita 7 angalia jinsi mtu huyu alivyokuwa wa ajabu ni sawa na basi hilo ukilisimamisha ! Sasa tunilinganishe na wanadamu wa leo , vipimo hivyo ndivyo alivyokuwa navyo baba yetu ADAM .mwogope mungu ndugu yangu sali

Mkuu madudu Yao yalikuaje sasa ka umbo yalikua ma utong?
 
hata nikimuuliza shehe hatonipa majibu zaidi ya hadithi za oral tradition...eti binadamu tulikuwa wakubwa kama mabasi ya abood..anyweiz nawaachia hyo.,
 
Back
Top Bottom