Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
Soma vema iyo thread ilivyoanza hapo juu,kwani wewe uyaamini maandiko matakatifu au kitabu kimojawapo kati ya hivyoo
Sijawahi kuamini kitu bila kuwa na uthibitisho
Soma vema iyo thread ilivyoanza hapo juu,kwani wewe uyaamini maandiko matakatifu au kitabu kimojawapo kati ya hivyoo
sipati picha hizo "biology" zao zilikua na ukubwa gani, hahaahaa kumbe ndio maana walikua na uwezo wa kupigana hadi na simba
Nasikia simba wa zamani walikuwa mara mbili zaidi ya hawa waliopo sasa
Sijawahi kuamini kitu bila kuwa na uthibitisho
khaaaa kaka umenivunja mbavuuuu duu kama super costom tenaSimba wa kipindi hicho walikuwa kama super
![]()
View attachment 175706 Kwa mujibu wa vitabu takatifu Quraani, injiri,torati,hata zaburi, vinaeleza kuwa mwenyezi mungu alimuumba mwanadamu katika vipimo hivi urefu mita 60 na upana mita 7 angalia jinsi mtu huyu alivyokuwa wa ajabu ni sawa na basi hilo ukilisimamisha ! Sasa tunilinganishe na wanadamu wa leo , vipimo hivyo ndivyo alivyokuwa navyo baba yetu ADAM .mwogope mungu ndugu yangu sali
duh naomba nifanye utafiti juu ya hili nazama chimbo then nakuja
Sijawahi kuamini kitu bila kuwa na uthibitisho
duu mimi nimeanzisha hii thread nimebaki kushangaa watu wanavyozama chimbo yaani hili ndilo kaburi la ibrahim mbona mrefuuu hivi![]()
Hilo la Ibrahim!
![]()
Hilo la Yusha!
Embu google 'graves of past prophets'
View attachment 175706 Kwa mujibu wa vitabu takatifu Quraani, injiri,torati,hata zaburi, vinaeleza kuwa mwenyezi mungu alimuumba mwanadamu katika vipimo hivi urefu mita 60 na upana mita 7 angalia jinsi mtu huyu alivyokuwa wa ajabu ni sawa na basi hilo ukilisimamisha ! Sasa tunilinganishe na wanadamu wa leo , vipimo hivyo ndivyo alivyokuwa navyo baba yetu ADAM .mwogope mungu ndugu yangu sali
hivi unadhani mungu aliumba mtu mdogo kama wewe! Wewe tazama yale pyramid ni kazi za watu leo hii kiumbe gani kinaweza fanya vile ujihoji tuEri mwenzetu hivi vipimo vya binadamu vya kuwa alikuwa na urefu wa zaidi ya nusu ya kiwanja cha mpira umezitoa katika zaburo mstari wa ngapi!!? Maana ndio kwanza nnasikia kwako😳😳😳
Mi nadhani mwaka 7000 tutakuwa kama chura ila ccm watakuwa kama mbuhivi unadhani mungu aliumba mtu mdogo kama wewe! Wewe tazama yale pyramid ni kazi za watu leo hii kiumbe gani kinaweza fanya vile ujihoji tu
hivi unadhani mungu aliumba mtu mdogo kama wewe! Wewe tazama yale pyramid ni kazi za watu leo hii kiumbe gani kinaweza fanya vile ujihoji tu
vitu vingine ni.uwongo uliopo bayana..eti mita 60
Ndugu yangu,naona una hoji mambo ya Mungu,Ila ingekuwa vyema ukaingia kwny maandiko ukajua ni kwann.Na kwann musa alzkwa na mungu. Kama kuna upendeleo fulan hapa au mm sielewi