Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 25
Asante sana mkuu, Ubarikiwe sana.Kwahyo difference hakuna shida. kimo cha mimba kinaruhusiwa kutofautiana kwa wiki mbili (plus or minus 2weeks) na hiyo 37+6 is almost 38 which is normal, endelea kulea mimba.
Ni kweli ,maana Mimi nipo safari mbali kidogo na wife lakini wife kauliza akaambiwa kwamba huenda ana mapacha hivo akapige ultra sound ,yaani ni kama huyo nesi kamfanya apanik.Mmejisahahu tu ila hilo swali mlitakiwa muulize hapo hapo mlipopewa majibu
Tuko pamoja kiongoziAsante mkuu, kwahiyo Mimi kulingana na suala langu wife anaangukia kwenye kipengele cha pili GA 30 FH 38 ina maana yeye haijazidi 5 maana ni GA 37+6 (38) na FH ni 40?? Samahani naomba tena ufafanuzi kidogo mkuu.
Asante sana mkuu, nimekuelewa vizuri sana,Tuko pamoja kiongozi
40-38=2 hapo ni ukuaji na maendeleo ya kawaida kwa ujauzito.
Angalizo ulinganifu wa FH & GH unaweza usiwe sahihi kwa baadhi ya jamii...
Wafupi au warefu sana.
Upande wako ilikuwa ni tofauti ya ngapi kati ya umri wa ujauzito na kimo cha mimba?Ilinitokea,nilipomuuliza Dr.alisema nina maji Mengi au nimebeba mimba ya mapacha.Mwisho nilijifungua mapacha.
Huyo mtaalamu aliyewapa majibu alitoa comment gani?Habari wakuu ,
Naomba kuelemishwa , kuna madhara yoyote kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba?
Mke wangu umri wake wa mimba ni wiki 37+6 na kimo cha mimba ni 40.
Na hii ni mimba ya pili kwake.
Naomba msaada wenu wataalamu.
Amesema huenda ni mapacha ila wife akijiskia vibaya siku yoyote apelekwe hospitalHuyo mtaalamu aliyewapa majibu alitoa comment gani?
Fuateni huu ushauri.Amesema huenda ni mapacha ila wife akijiskia vibaya siku yoyote apelekwe hospital
Sawa mkuuFuateni huu ushauri.