Kimeumana: January, Nape na Muhongo; long game yenu haitawasaidia. Legacy ya Magufuli ni kama mbuyu ndani ya chama mlichopo

Hivi mwendazake ndo rais wa kwanza kutawa tz na mwanzo ikijulikana Tanganyika, nawambieni kitendo Cha kumutukuza kuliko watangulizi wake hata mh wa Sasa tulienae ,maana legacy imekua legacy, dhambi hii itawatafuna, sioni kosa KWA uliowataja, ila wenda pia wanajua mengi maana ni watu ambao exposure yao ni kubwa kuanzia kwenye chama,serikalin na hata nje ya nchi ,wameisha fanya KAZI chini ya viongozi mbalimbali wa kitaifa ,wanajua mengi kuliko wewe unaowakemea wakati ni wajuzi tu
 
Kama Mungu ninayemwamini utashuhudia misukosuko ya laana maishani mwako, huwezi kumfanyia dhihaka namna hii mtu aliyetoa sadaka maisha yake kwa ajili ya Nchi yake.
hakika mkuu na wale wote waliohusika kwenye mipango ya mashambulizi ya mhe. Lissu naomba umuombe mungu wako atende sawasawa.
 
Kwa nini?
Umejiunga na praise team.Jiwe ukiondoa maafa hakuna cha maana hakuna alichotuachia.Maisha ya watu walipotezwa,Kuuwawa ,kupigwa risasi ni bora kuliko anayoyaita madaraja!
 
Magufuli Magufuli,utadhani kuna la maana alifanya. Wabongo ujinga umewajaa sana,yaani mnamwabudu mtu kwa kutimiza wajibu wake. Jitu zima na kitambi chake anatumia rasilimali za nchi kutetea magufuli ambaye alijitakia mwenyewe kuharibu nchi
Afadhali ninyi maolitetea na kulisifia lilesenge
 
Ujumbe kwa ,"Sukuma Gang":
BWANA asema hivi,
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Yeremia 17:5
 
Ukipitia hizi nyuzi za kumbukizi... kuna picha utapata...

 
Drugs zimeshaanza kuingia kwa fujo..
Magufuli Magufuli,utadhani kuna la maana alifanya. Wabongo ujinga umewajaa sana,yaani mnamwabudu mtu kwa kutimiza wajibu wake. Jitu zima na kitambi chake anatumia rasilimali za nchi kutetea magufuli ambaye alijitakia mwenyewe kuharibu nchi
 
Kama kifo cha kijinga na uzembe! Kifo chake tu kinaonesha jinsi gani alikuwa Mburula
Alikuwa mwoga sana wa risasi na physical torture(??labda alitumia kwa wapinzani.....rejea kauli kwa CCM watakaompinga,). Nini lengo la ugeni mkubwa toka China kwenda kijijini kwake,kipindi hiki ambapo kuna tahadhari kubwa dhidi ya uviko? Tena hadharani,mbele ya makamera,anakwenda kumsalimia mkuu wa msafara kwa mbwembwe(kumshika+kumbatio)....kuwa corona imekwisha. Ilipangwa ile huko kwa wakubwa...hapo walionyesha dunia kuwa yametimia
 
Siyo kukamilisha Bali waendeleze, hata akija rais mwingine ataimalizia

Hili ndilo kosa alilofanya magufuli, kuanzisha miradi mikubwa was wakati mmoja na kutaka kúimaliza kwa muda mfupi.

Hakujali maisha watu.
Huyu jiwe angeishi kwa miaka 2 tu zaidi, deni la taifa lingefikia zaidi ya trilioni 100. Amekufa likiwa trilioni 71. Miradi mikubwa ilianzishwa kwa uamuzi binafsi huku taifa likidanganywa eti tunalipa kwa fedha zetu.
 
Tunaitaji kuona au kutathimini haraka kama CCM ya SASHA itaendeleza yaliyoachwa na JPM kama sivyo tuunde haraka CCM B ambayo itapambana vilivyo na kundi msoga, kundi Lissu na maharamia wengine.
 
Back
Top Bottom