Kimenuka usiku huu kitaa

Kimenuka usiku huu kitaa

Ni muhimu kutenganisha mavazi mnapokuwa faragha, yeye akiweka kona ya kulia zako weka kona ya kushoto. Wengi wamejikuta wanavalia na chupi za wanawake na anarudi home full ma confidence.
Kinadada na nyie hivyo vichupi vyenu vya siku hizi vidogo na vilaini mno yaani hata mwanaume ukiivalia kwenye vest huhisi chochote.
 
Mabint watata, Utakuta aliichomeka Pichu yake kwenye Jinsi na akatembea uchi kurudi kwao ( I mean bila pichu).
1477197174115.jpg

Mie nimependa naye mwendokasi asubuhi hii ...kweli hajavaa pichuuu....si unaona picha ya wife yeye kavaa bikini.
 
Mshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi
Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop
Ile panic kumbe jamaa kaondoka na chupi ya mchepuko ndani ya jeans!!! Kufika hm sebuleni mambo hadharani! Bado tuko hapa
Mshana una WIFI au shemeji?!!
 
Mkuu mmelala eneo la tukio!? Tueleze yaliyojiri hadi kufikia asubuhi ya leo
 
Dah...hapo ndipo ninapowapendea waislam...ushahidi wa kuzini ni lazima utolewe na watu wazima (40+yrs) watatu walioiona game live
 
Mshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi
Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop
Ile panic kumbe jamaa kaondoka na chupi ya mchepuko ndani ya jeans!!! Kufika hm sebuleni mambo hadharani! Bado tuko hapa
Dah...prof labda wapinzani wake wa kisiasa walimuwekea mfukoni
 
Km ni mimi ningemsamehe tu kwa kweli,mana si kwa mshtuko uliompata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom