Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,461
- 829,859
Mshkaji ilikuwa ampokee wifi ubungo stand SAA mbili usiku ila akawa na kazi ya nje mitaa ya ubungo maziwa , akafanya yake kwa nguvu ya nyagi
Kukurupuka Shee yuko stand anapiga cm non stop
Ile panic kumbe jamaa kaondoka na chupi ya mchepuko ndani ya jeans!!! Kufika hm sebuleni mambo hadharani! Bado tuko hapa

babyy!!!!