kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
mimi nimekua natumia simu hii kwa muda kidogo ila tatizo kubwa ni pale ninapojaribu kuweka au ku download aplication mbalimbali kutoka kwenye kampuni yao(samsung)wanaponiambia niweke au ni sign kwa ajili ya ku downloadhizo softwire inataka niweke ac na pindi niwekapo email yangu ya gmail au yahoo inakataa na kutaka niweke mpya.niwekapo ya kwao huwa inagoma.naomba mnielekeze jinsi ya ku download kiurahisi.nashukuru kwa msaada wenu