Kimenuka mtokela hapapitiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka mtokela hapapitiki!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kapo Jr, Aug 14, 2012.

 1. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Wana jf barabara ya Mbeya mpaka Malawi imefungwa takriban masaa sita baada ya mtu anaedaiwa kukodi bodaboda kisha dereva kutoonekana ila alokodi kaonekana. Wananchi walimpeleka polisi then after 24hrs kaonekana mtaani,majadiliano yanaendelea. Source:mm mwenyewe
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 7,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Waliofunga hy Barabara ni watu wa aina gn?
   
 3. B

  Bubona JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijaelewa unachotaka kuripoti!!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ndiyo maana watu wanajichukulia sheria mkononi kutokana na mambo kama haya.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Swali gani sasa hili.
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mbona hueleweki? wana JF msiwe mnakurupuka kama wabunge vilaza wa ccm wanaogonga meza wanapoa aamka
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,475
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Halafu utasikia utii wa sheria bila shuruti. Polisi wanapaswa kujua kuwa nidhamu haiji bure inapatikana kwa matendo yako. Respect is earned.
   
 8. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nilivyomuelewa jamaa anadai kuna mtu kakodi bodaboda dereva wa bodaboda na pikipiki havijaonekana mpaka sasa aliyekodi ameonekana uswahilini wamempeleka polisi akaeleze alipomuacha mwanabodaboda baada ya muda wanamuona mtuhumiwa anaranda mitaani wananchi wanaforce polisi waeleze kwa nini mtuhumiwa ameachiwa wakati mwanabodaboda hajapatikana?
   
 9. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  Good morning sir...
   
 10. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Mchuna Ngozi huyo, na kwanini POLISI wamemuachia?
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,474
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hao Wananchi WAJINGA nini?

  Kama POLISI hawamkamati wala kumuuliza si ni kwamba wamewapa taa ya kijani?

  Kwani Mtokela HAKUNA msitu unaofanana na Pande? Watanzania na sisi tuutumie Mabwepande sasa.

  LIWALO NA LIWE.
   
 12. theHAVARD_product

  theHAVARD_product JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 290
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Sioni hoja, Labda huyo jamaa angeonekana na pikipiki ya Huyo aliyepotea...
   
 13. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 7,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  soma watu wengine kama wameelewa hy thread sio unadandia treni kwa mbele
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Hii movie haina tofauti na ile ya Songea ambayo mpaka RPC ilibidi ahamishwe kwenda Iringa
  Jeshi la polisi haliaminiki siku izi wanakula rushwa ata mahala ambapo hapaliki rushwa.
  Cha msingi walipomwona wangemabwepande tuu faster!
   
 15. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  umenisoma mkuu,nimemanisha ulichotambua respect mkuu
   
 16. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,974
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kuwa Wanajeshi wa Malawi Wamemchukua... So Mwizi kahojiwa Police wetu kama uwajuavyo waoga wamemuachia.... Tumuombee Dua Mwendesha Boda Boda asiwe amedhurika Sana
   
Loading...