KiMENUKA leo hapa home wamepika UGALI...

KiMENUKA leo hapa home wamepika UGALI...

watu8

kanunue chips vumbi 1200 wasikuzingue......

nisharekebisha NGUNA kwa furu na majani ya maboga, jioni nitaenda hapo kwa Hussein Makuku kukamata kitu cha zege...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hilo ni bonge la sinia sema nimeupload kwa simu ndo maana imeonekana ndogo.... ila nyama ni chache!!!

Hahahhahahaha,umenichekesha zaidi uliposema nyama ni chache,basi nilikuwa nimetoka kidogo kumuona jirani yangu raia wa Sierra Leone,kufika kwake namkuta na watoto wake wamezunguka bonge la sinia la Ugali kikwao wanauita Fufu...
 
Fufuuuuuu..... dah ina maana wao hawana sikukuu?????
 
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!

Ugali.jpg

Hii ni misuse ya equipments. Yaani bisu la kuchinjia mbuzi mnachinjia ugali?
BAK,, pole kwa ubusy wa kutumia mahela kwa xmas, ila naomba wimbo wa dogo janja 'tena inaniuma kwa sana, loe. Nikitoka naenda kumuuambia mama, lol'
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom