ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!
![]()
duuuu yaani ndio naona hii hapa ni full kijichokonoa kwenye meno minyama ya ndafu tu..