Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Hahahahahahahaha
amu umenichekesha sana kwenye hii mbinu uliyo mshauri ndugu watu8! Lakini anaweza akakuta na kwa jirani hivohivo!
Merry christmas and happy new year
amu umenichekesha sana kwenye hii mbinu uliyo mshauri ndugu watu8! Lakini anaweza akakuta na kwa jirani hivohivo!
Merry christmas and happy new year
watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi
Last edited by a moderator: