Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Naungana kabisa na wale wote wanaoona kuwa JIDE amekosea, kwa ukubwa wa jina lako na clouds ambao amewahi kushirikiana nao kabla, Ulipaswa kuweka hasira kando na kufikiria vya kotosha kile unachofanya. Ungeweza kuandika kwa busara kubwa na kuonyesha yale yote ambayo unadhani Clouds wanakosea bila kutengeneza mazingira ambayo kwa mtazamo wangu ni kama unajidhalilisha.....Pia ungeweza kutumia watu wakubwa kufikisha malalmiko yako kwa clouds.Ulichofanya ni sawa na mwanandoa anayeanza kuropoka kasoro za mwenzake pale inapotokea tu wameachana. Kwa sababu mwisho wa siku si kwamba nawe ni msafi sana. Kwa kuwa wewe si malaika basi una kasoro zinazokwaza wengine na ungependa uliyemkosea aje akwambie face to face bila kusambaza nje.

Kosa lingine kubwa ulilofanya ni kuapiza mambo yanayohusiana na kifo , Kwa mtu mwenye ufahamu wa wastani huwa hakuna maana yoyote ya kufanya hivi kwa sababu hakuna anayejua siku ya kufa au kwa kifupi hatujui siri iliyojificha kwenye kifo. Marehemu hata siku moja hausiki na kinachoendelea mara tu anapokata roho, Kwa kuwa hujui kwa nini wewe unabaki mwngine anatangulia au vise versa ni vema kuepuka viapo tusivyovielewa. Kama ni mtu mwenye imani fulani ni bora ufute hii kauli.
 
Linah na Barnaba wameiambia Bongo5 kuwa hawatakuwepo kwenye show ya miaka 13 ya muziki ya Lady Jaydee itakayofanyika May 31, kwa kile walichodai ni kutoafikiana kwenye malipo.
page4.jpg

Wamesema licha ya kuendelea kuwepo kwa majina yao kwenye poster ya show hiyo, hawatotumbuiza siku hiyo.
“Dada yetu alituita, akatuambia kwamba ana kazi yake ya kutumiza miaka 13 kwahiyo akawa anasema anahitaji wasanii ambao watamsupport kwaajili ya kufanya show,” amesema Linah. “Sisi tulifuata protocol zote kwasababu kama wasanii tuna viongozi, tukafuata protocol zote kuweza kukubaliana naye mpaka tukafikia hatua kwenye masuala ya biashara, yaani malipo. Kwenye upande huo kidogo tukawa tumepishana, kwenye upande wa masuala ya maslahi. Lakini sasa tunashangaa yeye kuanza kuweka posters.”
Kwa upande wake Barnaba amesema hawajashindwana na Lady Jaydee lakini wao kama wasanii wana menejementi na matakwa ya ofisi zao na hivyo muafaka ulishindwa kufikiwa na pia walikuwa na booking zingine.
Hata hivyo Barnaba amesema hakuna ugomvi wowote baina yao na Lady Jaydee. “Tuko safi tu na dada, mbona tuliafikiana vizuri tu na tuko kwenye maongezi mazuri tu, tulishaongea na hili suala liko vizuri,” amesema Barnaba.
ni wazi wasingweza kuwakwenye hiyo show maana lazima watii mamlaka ya RUGE.
 
Haya ndo ninayoyakataa.
Wenyewe wamejitokeza na kusema wazi kuwa hawatokuwepo kwenye hiyo Show kwa sababu tu wameshindwa kuafikiana swala zima la ujira...
Wakuu tuache kushabikia mambo yanayoleta mgawanyiko ktk jamii.
Tuache kutoa kauli zisizo na uhakiki...
 
Naungana kabisa na wale wote wanaoona kuwa JIDE amekosea, kwa ukubwa wa jina lako na clouds ambao amewahi kushirikiana nao kabla, Ulipaswa kuweka hasira kando na kufikiria vya kotosha kile unachofanya. Ungeweza kuandika kwa busara kubwa na kuonyesha yale yote ambayo unadhani Clouds wanakosea bila kutengeneza mazingira ambayo kwa mtazamo wangu ni kama unajidhalilisha.....Pia ungeweza kutumia watu wakubwa kufikisha malalmiko yako kwa clouds.Ulichofanya ni sawa na mwanandoa anayeanza kuropoka kasoro za mwenzake pale inapotokea tu wameachana. Kwa sababu mwisho wa siku si kwamba nawe ni msafi sana. Kwa kuwa wewe si malaika basi una kasoro zinazokwaza wengine na ungependa uliyemkosea aje akwambie face to face bila kusambaza nje.

Kosa lingine kubwa ulilofanya ni kuapiza mambo yanayohusiana na kifo , Kwa mtu mwenye ufahamu wa wastani huwa hakuna maana yoyote ya kufanya hivi kwa sababu hakuna anayejua siku ya kufa au kwa kifupi hatujui siri iliyojificha kwenye kifo. Marehemu hata siku moja hausiki na kinachoendelea mara tu anapokata roho, Kwa kuwa hujui kwa nini wewe unabaki mwngine anatangulia au vise versa ni vema kuepuka viapo tusivyovielewa. Kama ni mtu mwenye imani fulani ni bora ufute hii kauli.

watu kama wewe na mimi ndio nguzo tegemeo hapa JF...
Kwanza umetafakari kwa kina sakata hilo, kisha umekuja kwa busara na kueleza mtazamo wako.
Safi sana
 
Napenda kutoa pongezi kwa Gang Chomba kwa kutokurupukia na kushadadia mambo n...akunyimae kunde anakupunguzia mashuzi....huu ni ulimbukeni wa kizamani kabisa etiii oooh wasije kwenye msiba wangu ss mbona umepunguzia watu shughuli..hapo ndio niliona huyu anaejiita mnyonywaji mwehu nae. Kwanza huyu dada kaenda misiba mingapi, misiba yooote yeye hashiriki, Unajua clouds redio ya mtu binafsi na sio ya serikali ss km kusaga akiamka akasema leo zipigwe nyimbo za diamond tu anaweza na km atakuudhi kaskilize redio nyingine mana ile sio RTD na shangaa wasanii mnalalamika kwamba nyimbo zenu hazipigwi clouds wakati redio nyingine zipo kibao, yaani unakuta msanii jicho limemtoooka ankilalamika kabisa 'oooh clouds hawapigi nyimbo zangu kile ni kituo binafsi chenye maamuzi yake wanaweza kupiga nyimbo yako au wasipige ambayo km unahisi yanakukera chnge stesheni.
 
Teh teh ngoja kiumbe anaitwa MTAZAMO aje hapa uone sarakasi atakayobinuka ile hali kavaa taulo
 
Si imesemwa kuwa huyo mdada anataka kufungua redio yake? Basi aache kutunukisha domo lake hapa. Na afungue hiyo redio yake apige nyimbo zake mwenyewe.
 
JIDE wewe ni special na hawakuwezi. Si lazima nyimbo au albam zako ziwe clouds. Hata ukipeleka kwa wakala tutanunua, wewe ni taifa kubwa na jina kubwa wasikubabaishe hao. Radio lao la udaku na Kibodne wao wafilie mbali.
 
Mjomba usihadaike na rangi ya Ganda...
Ipasue pilipili ndani kisha uionje ndo utaijuwa habari yake.
Huyo hamjui Mungu unaemuabudu wewe.
Asikuvutie kwa maneno matamu kama hayo ile hali yeye alipojihisi ana jini mahaba alimuita Mganga Nyumbani kwake na kisha akashiriki ushirikina ambao nina uhakika Mungu unaemuamini wewe haruhusu ushuzi huo...

Shtuka

huyu dada ni mchawi,na kwa taarifa tuu,mungu amemlaani mtu yoyote amtegemea mwanadamu,moyoni mwake amemwacha mungu...aendelee kumtegemea huyo mganga wake arudishe hadhi ya machozi bendi!
 
Napenda kutoa pongezi kwa Gang Chomba kwa kutokurupukia na kushadadia mambo n...akunyimae kunde anakupunguzia mashuzi....huu ni ulimbukeni wa kizamani kabisa etiii oooh wasije kwenye msiba wangu ss mbona umepunguzia watu shughuli..hapo ndio niliona huyu anaejiita mnyonywaji mwehu nae. Kwanza huyu dada kaenda misiba mingapi, misiba yooote yeye hashiriki, Unajua clouds redio ya mtu binafsi na sio ya serikali ss km kusaga akiamka akasema leo zipigwe nyimbo za diamond tu anaweza na km atakuudhi kaskilize redio nyingine mana ile sio RTD na shangaa wasanii mnalalamika kwamba nyimbo zenu hazipigwi clouds wakati redio nyingine zipo kibao, yaani unakuta msanii jicho limemtoooka ankilalamika kabisa 'oooh clouds hawapigi nyimbo zangu kile ni kituo binafsi chenye maamuzi yake wanaweza kupiga nyimbo yako au wasipige ambayo km unahisi yanakukera chnge stesheni.

Ahaaa ndo maana leo "MARUFUKU NYIMBO ZA BONGO FLEVA SIKU NZIMA", sawa mzee.
Noted!
 
Haya ndo ninayoyakataa.
Wenyewe wamejitokeza na kusema wazi kuwa hawatokuwepo kwenye hiyo Show kwa sababu tu wameshindwa kuafikiana swala zima la ujira...
Wakuu tuache kushabikia mambo yanayoleta mgawanyiko ktk jamii.
Tuache kutoa kauli zisizo na uhakiki...

Gang Chomba,
Ukiachilia mbali maslahi (malipo), Barnabas na Estelina (Lina) wako chini ya menejimenti ya Ruge, aliyewatoa THT. Kwa reasoning ya kawaida kabisa isingekuwa rahisi kwa wao kutumbuiza kwenye show ya JD ilhali JD kamtukana mwajiri wao. Hizo sababu walizotoa hapo wametumia busara sana, ili moto usisambae. Nawasifu kwa hilo.
 
Napenda kutoa pongezi kwa Gang Chomba kwa kutokurupukia na kushadadia mambo n...akunyimae kunde anakupunguzia mashuzi....huu ni ulimbukeni wa kizamani kabisa etiii oooh wasije kwenye msiba wangu ss mbona umepunguzia watu shughuli..hapo ndio niliona huyu anaejiita mnyonywaji mwehu nae. Kwanza huyu dada kaenda misiba mingapi, misiba yooote yeye hashiriki, Unajua clouds redio ya mtu binafsi na sio ya serikali ss km kusaga akiamka akasema leo zipigwe nyimbo za diamond tu anaweza na km atakuudhi kaskilize redio nyingine mana ile sio RTD na shangaa wasanii mnalalamika kwamba nyimbo zenu hazipigwi clouds wakati redio nyingine zipo kibao, yaani unakuta msanii jicho limemtoooka ankilalamika kabisa 'oooh clouds hawapigi nyimbo zangu kile ni kituo binafsi chenye maamuzi yake wanaweza kupiga nyimbo yako au wasipige ambayo km unahisi yanakukera chnge stesheni.

Salute kwako; ile kauli ya Kifo mimi pia Ilinishangaza Nikijiuliza Huyu Bibi yeye kawai kwenda msiba wa nani? Mbona hata Mzee mwenzie Bi kidude niliedhani mtu wake wa krb Kashindwa kwenda....... Nikapata jibu anajihami Anajua kuwa watu hawatashiriki kutokana na yeye kuwa c mshiriki.
 
Gang Chomba,
Ukiachilia mbali maslahi (malipo), Barnabas na Estelina (Lina) wako chini ya menejimenti ya Ruge, aliyewatoa THT. Kwa reasoning ya kawaida kabisa isingekuwa rahisi kwa wao kutumbuiza kwenye show ya JD ilhali JD kamtukana mwajiri wao. Hizo sababu walizotoa hapo wametumia busara sana, ili moto usisambae. Nawasifu kwa hilo.

Na Ukienda Mbali Gang Chomba kwa sisi tunaemfaham Judith Angeitwa yeye kwenye show iyo ya Barnaba au Linna Angeenda? Walichokifanya hao watoto ndicho ambacho angekifanya yeye Wanamjua/Tunamjua ndio manaa wameshindwana....... Kuna Wasanii wengine Waliwataka wakashindwana nao kwenye bei Mbona hawajawazungumzia? Matonya nae Kajiondoa nae ni Msanii wa Ruge?
 
Last edited by a moderator:
Naungana kabisa na wale wote wanaoona kuwa JIDE amekosea, kwa ukubwa wa jina lako na clouds ambao amewahi kushirikiana nao kabla, Ulipaswa kuweka hasira kando na kufikiria vya kotosha kile unachofanya. Ungeweza kuandika kwa busara kubwa na kuonyesha yale yote ambayo unadhani Clouds wanakosea bila kutengeneza mazingira ambayo kwa mtazamo wangu ni kama unajidhalilisha.....Pia ungeweza kutumia watu wakubwa kufikisha malalmiko yako kwa clouds.Ulichofanya ni sawa na mwanandoa anayeanza kuropoka kasoro za mwenzake pale inapotokea tu wameachana. Kwa sababu mwisho wa siku si kwamba nawe ni msafi sana. Kwa kuwa wewe si malaika basi una kasoro zinazokwaza wengine na ungependa uliyemkosea aje akwambie face to face bila kusambaza nje.

Kosa lingine kubwa ulilofanya ni kuapiza mambo yanayohusiana na kifo , Kwa mtu mwenye ufahamu wa wastani huwa hakuna maana yoyote ya kufanya hivi kwa sababu hakuna anayejua siku ya kufa au kwa kifupi hatujui siri iliyojificha kwenye kifo. Marehemu hata siku moja hausiki na kinachoendelea mara tu anapokata roho, Kwa kuwa hujui kwa nini wewe unabaki mwngine anatangulia au vise versa ni vema kuepuka viapo tusivyovielewa. Kama ni mtu mwenye imani fulani ni bora ufute hii kauli.

Watu km nyinyi ndo tunaohitajika humu! Safi sana.
 
Back
Top Bottom