Jitahidi mama siku moja utafanikiwa.ACT chama kubwa ndo maana linakutana na vingingi,ili dhahabu iwe na thamani kubwa lazima ipitishwe kwenye moto,Diamond imekuwa formed under high pressure.Vitu vizuri haviji kirahisi.ACT kazeni kamba mwishowe mtasimama tu.
Majambazi wakianzisha chama chao na kukiita CCM( Chama Cha Majambazi),Chama Cha Mapinduzi( CCM ) hawatalalamika?Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?
Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?
Wewe nipeleke popote upendapo mimi nachochea kuni kavu tu pale Ufipa.Kumbe na wewe ni mwanachama mwenzangu wa ACT? Ila niweke wazi, mimi niko ACT-Limbu
Makosa ni ya ofisi iliyosajili siyo ya chama. Ikiwa hao baraza la kilimo waligundua kuingiliwa nembo yao walipaswa kulipeleka kwa msajiri na siyo kwa chama!
Wewe ndiyo uelewewi kosa la ACT lipo wapi msajili wa vyama kawakubalia walitumie hilo jina. Unataka ACT wafanyaje?Tatizo unakimbilia Ku comment soma habari yote wewe gamba.
ACT ya wakukima wana sema walisha andika baruwa kwa ACT ya zitto kuwambia that abbreviation inafanana na yao.
so what matters here ni kuangalia nani kamuingilia mwenzake,note that ACT wakulima sio political party,lakini ACT ya zitto ni political party .
note that ACT wakulima is a combination of different wakulima ambao ni members wa different political parties so zitto awaachie wakulima ACT yao.
Kabla ya Zitto hajajiunga na ACT mbona hatukuwahi kuyasikia malalamiko haya!
Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?
Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?
ACT chama kubwa ndo maana linakutana na vingingi,ili dhahabu iwe na thamani kubwa lazima ipitishwe kwenye moto,Diamond imekuwa formed under high pressure.Vitu vizuri haviji kirahisi.ACT kazeni kamba mwishowe mtasimama tu.
Kweli masai dada ccm hawalali kabisa kwa hayo maneno matatu. Huko ukawa wanalala kwa wakati.
uwt - umoja wa wanawake tanzania
uwt - usalama wa taifa