NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Jiamini mkuu,umemtoa ki roho safi basi atarudi ki roho safi,usijitie wasiwasi na BP au humuamini? hakuna litakalo tokea kama hataki mwenyewe na kama ni mtu mzima nini Unguja hata hapo unapoka nae pia anaweza kuliwa sasa punguza
stress zisizokua za lazima..
stress zisizokua za lazima..