hahaha..kweli kimbebe...hapo unaanza kutafuta kazi sehemu nyingine huku ukimbembeleza kuwa unaweza mambo sawa...ukishapata tu unaresign within 24 hrs....of course utafanya hivyo if you care!
manake kuna wengine watasema "aaaah...kwani kuna nini kama noma na iwe noma"
Kaizer, it's a dream job! yaani kuiachia hivi hivi tu?, ...safari za hapa na pale pamoja na marupurupu ya kumwaga, ...hakuna stress za kijinga jinga, subordinates wako makini na kazi zao,... shida huyu Executive tu.
...anauwezo wa kung'ang'ania working lunches ofisini kwake, na daily after-hours briefings zisizo na kichwa wala miguu...
Sijui itakuwaje coming 'farm trips', na inapobidi kushare hotel ... ndio itabidi kujisingizia mwanaume mzima 'upo period'? maana duuuh, kushare same hotel, same corridor, adjascent rooms na huyu Zimwi ndio mwanzo wa kubakwa!
...unless uniambie kuwa unaweza kuformalize that na mamsapu wako! kwamba bosi 'anakutaka' na bila ivo unaweza kufukuzwa kazi LOL
...mtu unakuwa na kazi ya kuchekesha tuu saizi noma!!
Kama ukim*** iwe kwa kupenda mwenyewe. Kama "utalazimishwa" ili kulinda hiyo dream job ina maana pia bosi mwanume aweza kukukamatisha ukuta ili kuilinda! Hhhaaa hhhaaa.
Wazo tu..
...exactly Bro,...duh! mtu mzima unajigeuza 'kikarikenya' ili mke asahau-sahau yalopita lakini waaaaapi!
...alooombona hujafikiria nimkamatishe yeye ukuta, aloo? tunavunjiana heshima sio? (take it eazy) am joking!
...scenario uloisema labda huyo Bosi mwanaume awe choko! ...(nitampaka pili pili ya mata**)
...exactly Bro,...duh! mtu mzima unajigeuza 'kikarikenya' ili mke asahau-sahau yalopita lakini waaaaapi!
...alooombona hujafikiria nimkamatishe yeye ukuta, aloo? tunavunjiana heshima sio? (take it eazy) am joking!
...scenario uloisema labda huyo Bosi mwanaume awe choko! ...(nitampaka pili pili ya mata**)
...exactly Bro,...duh! mtu mzima unajigeuza 'kikarikenya' ili mke asahau-sahau yalopita lakini waaaaapi!
Duh ! MKuu hili neno linanikumbusha mbali kweli utotoni kabisa...nadhani linamaanisha mtu kama nusuki chaa aka mwendawazimu sijui alikuwa nani hasa?
Weee bwana mdogo Mbu ,Maji usoyajua kina chake usitie kaguu kako,Hapo muziki mtamu hapo,Kama wewe Mkristo basi mkumbuke Delilah alichomfanya Samsaon mtumishi ungu.Kazi na mke kipi zaidi?Najua kwa akili ya ulofa na kuendekeza kauchache utasema KAZI.Lakini nakwambia hivii kazi itapita mke unaye atakupa kazi nyingine.Lakini mke akipita huyo mnene C********D litakubamiza waya wa moto hata kwenu hutarudi tena.Akili umepewa nenda naye kwa taratibu ukimtolea nje kiana huku ukimsogeza karibu na mansapu tena na birthday zake apeleke vijizawadi tuuu.Siku ya siku mkitinga Ngurudoto wewe kalale Usa river mwambie shangazi kakuita utarudi asb,,,,UPOOOOOOOO
...thx Brodah,.... umepigilia msumari ndipo, isipokuwa paleeeee... maishani mwangu nimekuzwa kwa methali na misemo mfano huu hapa; 'a bird in hand worth two in a bush!'...
Ngoja niirudie ile movie ya Michael Douglas; DISCLOSURE naweza kuibua few tips...
ushauri baaazeee...
...Inakuwaje pale baada ya kusota madarasani vya kutosha, na kujipatia Qualifications nzuri, na a dream job inayokamilisha 95% ya matakwa ya maisha ikiwemo a dream car, financial stability na best accomodation money can afford, unakumbana na Top female Executive ambaye haoni, hasikii wala hataki kukubali neno "NO!" toka kwako ili ukajirushe naye...
kimbembe, mashaka na hofu ni pale hata hajali kwamba upo kwenye ndoa imara, tena unajivunia hata kwenda na Wife kwenye (office) family days out na party za kazini i.e hata yeye anamjua (wife) fika!...
Inakuwaje hapa? inabidi kujirusha naye kuukata mzizi wa fitna, au kuuchuna na kusubiria 'after effects of a woman scorned!'
Mkuu pole sana!
1.Ndo muone adha wanazokumbana nazo wanawake katika ajira.Labda muombe wanawake wawape uzoefu wao wanapambana vipi wanapojikuta kwenye situation kama hii!
2.Hamuoni iko haja kupigia kelele tatizo hili? Taasis nyingi hasa za kimataifa UN, INGOs etc wanazo sera kabisa za kushughulikia harrassment at places of work.Je si ni wakati muafaka kudai kila taasis iwe na sera hizi?
Una mtell off....( ila uhakikishe unajiamini kisawasawa kwenye kazi zako....)...Enhe WoS, leteni darasa nyie wa huko upande wa pili...
...Utamwambia Mumeo?
...Utaacha kazi?
...Utakubali "yaishe kiofisi"?
ushauri baaazeee...
...inakuwaje pale baada ya kusota madarasani vya kutosha, na kujipatia qualifications nzuri, na a dream job inayokamilisha 95% ya matakwa ya maisha ikiwemo a dream car, financial stability na best accomodation money can afford, unakumbana na top female executive ambaye haoni, hasikii wala hataki kukubali neno "no!" toka kwako ili ukajirushe naye...
Kimbembe, mashaka na hofu ni pale hata hajali kwamba upo kwenye ndoa imara, tena unajivunia hata kwenda na wife kwenye (office) family days out na party za kazini i.e hata yeye anamjua (wife) fika!...
Inakuwaje hapa? Inabidi kujirusha naye kuukata mzizi wa fitna, au kuuchuna na kusubiria 'after effects of a woman scorned!'
run forrest,run........mkimbie ibilisi,epuka zinaa