Kimba kubwa la mwanadamu

Tunaangalia angalia lakini hii ngoma itakuwa imeishia hapa[emoji23]
 
20cm upana sikweli hilo tobo la nyonga haifiki hiyo cm
 
Hili ndio kimba kubwa la mwanadamu lililohifadhiwa makumbusho ya uingereza.lenye upana wa sentimita 20 liligunduliwa mwaka 1972 na wajioloji kwenye mabaki sehemu ya Llyods Bank .je binadamu gani mwenye kimba kama hili?View attachment 1807462
Hilo Mbona Cha mtoto,Niliwahi shusha kimba hadi sinki lilijaa na jingine likabaki nje unafanya mchezo Nini??.
 
Hili kwenye choo cha en-suite utahangaika nalo sana na toilet brush. Hili mwake kwenye choo cha shimo, ukilipost hamuonani tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi bibi una nini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…