Kim kimyaaaa!!!

Kim kimyaaaa!!!

Mkuu wana sema umeruka mara kumi zaidi ya kilipo kituo cha anga je mzee wenu ndio kashakatwa mkia maana duh ana lia lia na china tu mnyimeni mafuta north !!
We tulia tu Naval blockade inafata.
 
Uzuri mmoja Kim ni member wa JF na amekujibu kwa kombora la masafa marefu
 
Fundi hakuna mzigo usioonekana dunia hii sio wa Russia,US,China, etc
Huu mzigo haukuonekana wakati unarushwa ndio maana kama ulifuatilia habari ya kwanza kabisa iliyotoka BBC walisema haijulikani kama ulipitsa tena juu ya Japan au vipi! Hawakuweza hata kukadiria kwa usahihi umbali uliosafiri kwa mwanzoni!
 
Sasa hivi Kim anayo makombora yenye kusafiri chini ya bahari kisha kujifyatua angani tena yupo mbioni kuunda bomb la kwanza lisilo onekana kirahisi na rada uenda hiyo tecnlg ndiyo wameitumia kwenye hili kombora walilo jaribu mana USA kakili awakuliona kirahisi
Wameliona wakati tayari liko masafa ya mbali! Walipata kiwewe! Ndiyo maana Trump hajaingia Twitter kusema ovyo kama kawaida yake!
 
Mkuu umeshindwa kuelewa kuwa aliyeufyata ni US...lengo la US ilikuwa ni kusitishwa kwa program ya nyuklia na makombora ya balistiki kwa kumshinikiza NK kuingia mazungumzo au kumshambulia.

Kim kagoma mazungumzo na bila kumumunya maneno kasema mpaka afikie lengo lake la kuimarisha silaha zake za nyuklia na makombora ya balistik. Na akasema wazi lengo lake ni kwa ajili ya kupambana na US kama wakijaribu kumshambulia.

Kim aendelea vema na Program yake ya nyuklia na ndani ya miezi 12 atatangaza kukamilika kwa program yake North Korea may announce completion of nuclear program within a year: South Korea minister

Japan detects radio signals pointing to possible North Korea missile test: source

Kina Saddam na Gadafi walishambuliwa mara moja bila hata ya kuonekana wakijaribisha silaha za nyuklia...Sasa Kim anazionesha wazi na US anabaki kulalama UN, na hakuna cha mshirika wala nani kuinua kidole
USA anabana ma.pumbu tu, hana analoweza kwa kiduku!
221ef1f29a1d458de1213a7fcd3f237b.jpg
 
Back
Top Bottom