Kim kimyaaaa!!!

Kim kimyaaaa!!!

wanajamvi ilikuwa haipiti siku au wiki bila kumzungumzia bwana KIDUKU(dodoki) na majaribio yake...lakini toka wenye dunia yao(USA)kuonyesha dhaili pasipo kumung'unya maneno kuwa sasa umefika wakati wa kushusha north korea kwa bwana DODOKI moto ambao haujawai kuonekana toka dunia imeumbwa....mpaka leo hakuna cha majaribio wala ushuzi wa majaribio,hii inaashiria nini kwa bwana DODOKI kajinyea au anajipanga upya?
Tunaomba mrejesho "MTOTO WA KUKU" juu ya post yako...Siku nyingine kabla ya kupost zingatia kuwa Kim hajaribiwi, hapangiwi, ni mbishi!

North Korea Fires a Ballistic Missile, in a Further Challenge to Trump
Mr. Trump’s reaction to the launch was more muted than in the past, when he lobbed insults at the North’s leader, Kim Jong-un and threatened “fire and fury” that would “totally destroy” the North.

“We will take care of it,” he told reporters in Washington. “It is a situation that we will handle.”

The missile took off from around Pyongsong, a town northeast of Pyongyang, the capital, at 3:17 a.m., and it flew east for about 53 minutes before landing off the north of Honshu, Japan’s largest island, nearly 600 miles from the launch site.

The distance traveled appeared to be significantly greater than that of the two previous ICBMs, which flew for 37 minutes on July 4 and for 47 minutes on July 28.

David Wright, a senior scientist at the Union of Concerned Scientists, said the missile performed better than the two fired in July, with a potential range of more than 8,000 miles, able to reach Washington or any other part of the continental United States.

“It’s pretty impressive,” Dr. Wright said of the test flight. “This is building on what they’ve done before. It’s muscle-flexing to show the U.S. that they’re going to continue to make progress.”

North Korea fires ballistic missile; range may exceed 10,000km- Nikkei Asian Review
The rocket traveled an estimated 960km from its point of origin and reached a maximum altitude of about 4,500km, according to Yonhap -- far higher than past North Korean launches. It appears to have been launched at a lofted trajectory, which sacrifices distance for height. When launched at a more typical angle, the missile could have a range of more than 10,000km, the news service said.
 
Mtoto wa Kuku amemtosa Trump! Chezea kiduku wewe! Amepotea na anapita kimya kimya tu hapa! Trump mwenyewe twitter hakuendeki! Anaogopa asije akabwatuka halafu dogo akatupia missile kiukweli na si on test tena! Ukiona mzee mzima kimya ujue maji yamezidi unga!
 
Wewe ndio upo kimya maana mkorea kaisha rusha mbona
 
wanajamvi ilikuwa haipiti siku au wiki bila kumzungumzia bwana KIDUKU(dodoki) na majaribio yake...lakini toka wenye dunia yao(USA)kuonyesha dhaili pasipo kumung'unya maneno kuwa sasa umefika wakati wa kushusha north korea kwa bwana DODOKI moto ambao haujawai kuonekana toka dunia imeumbwa....mpaka leo hakuna cha majaribio wala ushuzi wa majaribio,hii inaashiria nini kwa bwana DODOKI kajinyea au anajipanga upya?
utakuwa una matatizo ya kiakili wewe. siyo bure
 
wanajamvi ilikuwa haipiti siku au wiki bila kumzungumzia bwana KIDUKU(dodoki) na majaribio yake...lakini toka wenye dunia yao(USA)kuonyesha dhaili pasipo kumung'unya maneno kuwa sasa umefika wakati wa kushusha north korea kwa bwana DODOKI moto ambao haujawai kuonekana toka dunia imeumbwa....mpaka leo hakuna cha majaribio wala ushuzi wa majaribio,hii inaashiria nini kwa bwana DODOKI kajinyea au anajipanga upya?
Zilipendwa
 
Eti dodoki
Mkuu ungeuliza kwanza je ni kweli yupo kimya nimetukana kimasai hahahaha eti Trump alijulishwa likiwa hewani siku ya jumatano mlishindwa kuliona nasikia mmekiri kuwa huu mzigo unaweza piga sehemu yoyote U.S. bila kuonekana maana linauwezo wa kuruka anga za juu kabisa na hatimaye kutuwa Washington D.C. kwa speed ya mwewe anaye winda samaki !!
 
Kwani jaribio la wiki hii hujaliona?
 
Mkuu ungeuliza kwanza je ni kweli yupo kimya nimetukana kimasai hahahaha eti Trump alijulishwa likiwa hewani siku ya jumatano mlishindwa kuliona nasikia mmekiri kuwa huu mzigo unaweza piga sehemu yoyote U.S. bila kuonekana maana linauwezo wa kuruka anga za juu kabisa na hatimaye kutuwa Washington D.C. kwa speed ya mwewe anaye winda samaki !!
Fundi hakuna mzigo usioonekana dunia hii sio wa Russia,US,China, etc
 
Sasa hivi Kim anayo makombora yenye kusafiri chini ya bahari kisha kujifyatua angani tena yupo mbioni kuunda bomb la kwanza lisilo onekana kirahisi na rada uenda hiyo tecnlg ndiyo wameitumia kwenye hili kombora walilo jaribu mana USA kakili awakuliona kirahisi
 
Back
Top Bottom