Kim Kardashian....kama humjui, huyu hapa basi.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
KIM-KARDASHIAN.jpg
 
hivi huwa ni nani hasa?
Hawa ndo wale wanaitwa Gold digger, yeye anaruka na wale wenye nazo haswa~juzi hapa kidogo watu wamtoe roho baada ya kusemekana kuwa anaka-date ka underage flani hivi~Justin Bieber, haka katoto kanapiga mziki balaa!.
 
Acha urongo bana...Kimmy Cakes anatoka kwenye familia yenye hela. Baba yake, Robert Kardashian alikuwa mmoja wa mawakili wa OJ Simpson kwenye kesi yake ya mauaji na alikuwa ni milionea na aliwaachia hela nyingi wanawe kabla hajaaga dunia. Kimmy mwenye ana business ventures kibao...commercial endorsements, reality tv shows, n.k., of course bila sex tape yake na Ray J angeendelea kuwa mtoto wa super lawyer...but now she's her own woman...one woman conglomerate, if you will (or maybe kind of depending on how you look at things)

Kwa hiyo sidhani kama anahitaji hela za mwanaume yoyote.
 
Ha najua unampenda Kim kishenzi ha ha.
 
Napenda mchanganyiko wa familia yao ulivyo.Hivi kuna mwanaume wa kibantu/bongo anaweza kuwa kama Bruce - alee watoto wa mkewe from previous marriage, akubali drama vile kwenye maisha na ajisikie ni mume/ mwanaume? Au ni kwa vile Kris alitoka kwa mwanaume mwenye jina kubwa na pesa? NN pls shade some light here!
 
Mmhh..inategemea na mtu na mtu aisee. Kwa jinsi wanaume wengi wa kibongo na kiafrika walivyo chauvinistic nina shaka kidogo ingawa mbele ya pesa watu hufanya mambo ya kushangaza kinyume na matarajio ya wengi.

Kasheshe nadhani itakuja kwenye discipline. Watoto wengi wa majuu wewe kama sio mzazi wao wa kibaiolojia huwaga hawana adabu kabisa ...utasikia 'you ain't my daddy so shut the hell up or STFU'....sasa Mnyaturu utavumilia ujinga ujinga kama huo kweli? Matokeo yake utampiga kelbu and next thing you see ni ving'ora vya polisi nje ya nyumba maana watoto hawa walivyo wepesi wa ku-dial 911....haya unatiwa pingu....unapelekwa rumande...unafunguliwa mashitaka ya assault and battery au aggravated assault of a minor (ambayo depending on the nature of the assault yanaweza kuwa ni misdemeanor au hata felony kabisa)... utajuta hata kwa nini ulijiingiza kwenye hiyo familia...Hizi blended families zina drama balaa.....
 
Haha..NN umekumbusha ule mwimbo wa "step daddy" uliotoka miaka
kadha iliyopita. Haya mambo ya watoto wa kusingiziwa ya akina shaniqua
yanataka moyo sana.

Last edited by a moderator:
Ab Tichaz does it mean your crush has now moved to Kim and we may see less of Michelle?

Not really. Hii ilikua kwa niaba ya wahuni wa weekendi japo wafurahishe matho!!!...:A S tongue:

Michelle bado tunaye tu ado ado. Wamerudi kutoka vekeshen leo. hebu nikatundike picha zaidi.
 
Back
Top Bottom