Kill Music Awards!

sina neno mimi kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio penzi maua

ipoo siku eee penzi upepo, ntakuja nyumbani kwa wazazi wako, kuleta barua ya uchumba mie, tufungee ndoaaa na weweeeee

Mziki ulikuwa zaman konii sio siku hizi ubunifu hakuna kazi kusumbuana na kulazimishana tupende kazi zao.
 
Kwa kweli
mziki hauchuji hata miaka 20, sio siku hizi mziki ukimaliza wiki moja basi mwimbaji ashukuru Mungu wake.

Mziki ulikuwa zaman konii sio siku hizi ubunifu hakuna kazi kusumbuana na kulazimishana tupende kazi zao.
 
nimefurahia hawa wloimba taarabu za zamani

1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .

Jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.

Bado sikinde na msondo lol

aghrr mi nliskia kwenye dirisha la jiran,luku ilikata.af tkawa tunajaribu kununua kwa m/tigo pesa hola.mpaka 6 ucku ndo tkapata.nkaona mwishomwisho.kina steve nyerere na ***** wao.
 
Usimchezee chatu, ooh chatu we,
Rungu usumtupie, utaukosa ushindi....

Huu wimbo ukipigwa kama nimebanwa na haja kubwa inakata ghafla.
 
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani

1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .

jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.

Bado sikinde na msondo lol

zipo ndg nyingi tu madukani...da ht m zilinigusa hisia zangu.
 
Nimefurahia hawa wloimba Taarabu za zamani

1. Jamani mapenzi yananitatiza eeeh
kulala siwezi chakula sitaki akiona sumu . .

jamani taarabu za zamani ntazipata wapi?
Hiki ndo kimenigusa.

Bado sikinde na msondo lol

Taarabu mtafute viper.
 
Una uhakika?????

Redio yangu inatamka Eva, na jana kwenye Tv yangu iliimba Eva, au wewe ulikuwa unasikilia nyuma ya TV?

konnie unamaana hata miaka ile tuliokuwa tunasikia "hiba" tulikuwa tunasikilizia nyuma ya tv? lol
mi siku zote nasikia "hiba" pia.
 
Una uhakika?????

Redio yangu inatamka Eva, na jana kwenye Tv yangu iliimba Eva, au wewe ulikuwa unasikilia nyuma ya TV?

Unaharibu nyimbo zetu, si Eva bali ni Hiba. Kazi ya Sikinde hiyo ikiimbwa na super stereo Bitchuka ndani ya mwaka 1984..

Inaonekana wewe ni mbongo fleva kukurupukia usiyoyajuwa: huu wimbo unaitwa Hiba utunzi wake Muharami Saidi ukiimbwa na Bitchuka, na bendi ni Sikinde. Pengine hiyo redio yako ina kongosho/kigugumuzi. Ukitaka uhakika zaidi muulize hata rais Kikwete kwani naye ni mpenzi mkubwa wa Nginde!
 
hivi tule tunguo walitovaa wakina diamond ntaweza kwel kuvaa na tumbo hili? Hata kama fashen wacha inipite ka vile tommy yupo kwenye audition.
 
He he he he he.

Napenda nimkalisha mtu kwenye tuthpik bila sababu za msingi.

Pole, umeelezea hadi umetia huruma, uwe unasoma kati ya mistari basi kujua kama mtu yuko siriaz au la.

Inaonekana wewe ni mbongo fleva kukurupukia usiyoyajuwa: huu wimbo unaitwa Hiba utunzi wake Muharami Saidi ukiimbwa na Bitchuka, na bendi ni Sikinde. Pengine hiyo redio yako ina kongosho/kigugumuzi. Ukitaka uhakika zaidi muulize hata rais Kikwete kwani naye ni mpenzi mkubwa wa Nginde!
 
vile vya watoto, wamevaa kwa checklist.
Utadhani walikuwa na kalamu na karatasi wanatick

koti limematch na socks?
Nywele zina dawa?
Viatu vinamatch na ky..p?

Walimatchisha mno.

Watu wazima piga kama G. habash bana.

hivi tule tunguo walitovaa wakina diamond ntaweza kwel kuvaa na tumbo hili? Hata kama fashen wacha inipite ka vile tommy yupo kwenye audition.
 
vile vya watoto, wamevaa kwa checklist.
Utadhani walikuwa na kalamu na karatasi wanatick

koti limematch na socks?
Nywele zina dawa?
Viatu vinamatch na ky..p?

Walimatchisha mno.

Watu wazima piga kama G. habash bana.

Mi nkajua ni bahati mbaya kumbe aliandaa kajivazi kwa kila tuzo na alijua jana ni kama mwakajana ya 20% yatakuwa kwake masikini akapata 3 tu.
Sijui labda kwa ushamba wangu ila pale hakuna ugentleman.
 
wapi hakuna ugentleman??

Mi nkajua ni bahati mbaya kumbe aliandaa kajivazi kwa kila tuzo na alijua jana ni kama mwakajana ya 20% yatakuwa kwake masikini akapata 3 tu.
Sijui labda kwa ushamba wangu ila pale hakuna ugentleman.
 
hiii idea nakumbuka tulivyokuwa tunabishana kuhusu ..wale akina diamond na wenzake..ila mwisho wa siku mmekubali eeh safi sana
 
kama ulivyoona..ulijisikiaje kuona diamond anaimba kama mzee gurumo?...na mlivyopekea kwa shangwe..usipanic sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom