Kill Boyz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kill Boyz

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwanza One, Jun 22, 2011.

 1. M

  Mwanza One Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hebu wadau tuliosoma Kilimanjaro boyz tukumbushane mambo mazuri yaliyofanyika au jambo lililokufurahisha/kukumbuka. Kwa upande wangu namkumbuka sana Baba mchafu, Kichekiche na ile supa market yetu(kwa mwambai). Nawakaribisha wadau tujikumbushe historia
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ngono/pombe kupigana na Mrike secondary
   
 3. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,971
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  anhaaa hii si ndo ile shule iliyokuwa imekithiri kwa vitendo vya kulawitiana miaka ya flani ya early 90's na imeproduce mashoga kibao au
   
Loading...