"Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,Yaliyopita si ndwele tugange yajayo
Duhh siaasa mchezoomchafuNakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Hahahaha na yule Ben Saanane wa barua ya kijasusi nae afukuzwe... Hahahaha kamanda anachungulia kwa mbaliiii..Yericko unamuita Lowassa "Mumiani" daah!! Halafu leo unataka akuamini ndani ya Chadema, Lossawa fukuza huyu kiumbe angalia alivyokutengenezea fitna na matusi aliyokupa.
Mkuu wewe ni mzalendo unaendelea kuwatetea waendesha boda boda dhidi ya fisadi Lowasa.Ninani huyu mkuu? Mie nawatetea waendesha bodaboda
Hahahaha mabadilikoooo lowasaaaaa....Hahaaaa nimecheka mno makamanda wenzangu tulivokua bize kumsema huyu fisadi ila tukageuka tena na wale tulioamua kubaki na misimamo yetu tunaitwa wasaliti. Mabadilikooooo..... lowasaaaaaa
Sasa hivi upo nae Timu moja, Fedha sabuni ya Roho...We kijana unawehuka sasa!
Hongera sana Yeriko...Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Na tena mwambie Yeriko kuwa mameya wote jiji na manispaa za Dar es Salaam ni wa Ukawa a.k.a Ukuta.Kamanda Yericko hili suala la bodaboda kupigwa BAN kuingia katikati ya jiji nimefurahia sana na ninatamani wafukuzwe kabisa dar labda ndiyo wanaweza kupata akili kichwani kuwa hii si serikali ya wanyonge tena!Dar ndiyo inaturudisha nyuma kwenye ukombozi wa pili wa taifa hili na wamekumbatia umimi,gesi inatolewa mtwara inakuja dar tukipiga kelele nasi mtwara hatuna maendeleo wanaishia kutuachia makombo huku watu wa dar wakitusanifu bila kututetea!Lowasa alienda walijikusanya kama wendawazimu na kuvaa mijivazi ya CCM halafu eti leo wanakimbilia CHADEMA iwatetee,kwanini wasikimbilie kwa LOWASA?Kama wanaamini hawez kuwasaidia walikuwa wanatumika ili iweje?Kwahyo kazi yao ni kutumika tu na wanakubali?.Wala Lowasa usimlaumu,wakulaumiwani hao hao bodaboda na ujinga wao,KWANI HAWAWAONI BODABODA WENZAO WA MBEYA MJINI NA ARUSHA WANAVYOKULA BATA??ACHA WALE JEURI YAO NA BADO WATAISOMA NAMBA.
Ni mwendo wa kula matapishi tu mkuu ha ha ha.Mkuu, vipi msimamo wako uko pale pale?