Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
- Thread starter
- #141
Yeriko kamwambie ayekutuma arudi mtama kabla ndege hawajamaliza mtama
Ninani huyu mkuu? Mie nawatetea waendesha bodaboda
Yeriko kamwambie ayekutuma arudi mtama kabla ndege hawajamaliza mtama
Ndiyo umwombee mtu kifo.umetumwa we kamwambie arudi mtama huku atambulia pa tupu.
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Siku hizi naona mnaimba nyimbo za aina moja...We kijana unawehuka sasa!
Mkuu, vipi msimamo wako uko pale pale?Wewe umetumwa na nani?
Mti wenye matunda ndo unaotupiwa mawe!
Jiandae kwenda kuangalia uapishwaji wa Rais ajae wa JMT, His Excellency Edward Ngoyai Lowassa!
Yericko unamuita Lowassa "Mumiani" daah!! Halafu leo unataka akuamini ndani ya Chadema, Lossawa fukuza huyu kiumbe angalia alivyokutengenezea fitna na matusi aliyokupa.Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Sasa kwa nini umemtukana Lowassa kiasi hicho amekukosea nini?Wewe umetumwa na nani?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]YERICKO NYERERE una akili sana ! kwenye hili unayo hoja TENA NZITO SANA , NIMEONA KWA MACHO YANGU , MWENDESHA BODA BODA AKIWA AMEVAA FULANA YA KIJANI MPAUKO IKIWA NA MAANDISHI MGONGONI ( BODABODA DAR ES SALAAM , DONATED BY EDWARD LOWASA ) , ILIKUWA NI JUMATANO SAA 9 MCHANA MAENEO YA VETA KAWAWA ROAD , NIKASHANGAA SANA !
Heee hii ulitoa wapi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38]...CCM wenyewe wanajua mtiti utakao wakumba wakijaribu kumnyima lowassa urais... tayari wameshakubaliana kuwa Sitta atakuwa PM pindi Edo akiwa rais! ...CDM mtashinda lakini hamtatawala mpaka 2020!...
Kamanda Yericko Nyerere una weza uka ukana utabiri wako leo hii,hakika tuna takiwa kuweka akiba ya manenoNakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Kamanda yupo ndembendembeKamandaaaaaaa
Kamanda Yericko Nyerere una weza uka ukana utabiri wako leo hii,hakika tuna takiwa kuweka akiba ya maneno