Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Pamoja na hayo yoote, Sasa inakuwaje Ndesamburo wa Chadema anamsapoti Lowasa?
Tatizo vijana wanageuza gongo kuwa chakula
Pamoja na hayo yoote, Sasa inakuwaje Ndesamburo wa Chadema anamsapoti Lowasa?
Hivi mirembe bado inapokea wagonjwa au wamesitisha huduma.
waungane na huyu:mvutaji:?
![]()
Yeriko nakushauri uwe unatumia akili wakati mwingine. Ina maana huna kazi mkuu? Kwani Lowassa anahusiana nini na agizo la serikali?!
Unajishusha sana mkuu. Labda unijibu, waendesha bodaboda wanaenda posta kutazama vimini?? Haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa!! Katika ukoo wa Nyerere, hawezitokea mtu kama wewe. Bila shaka huna uhusiano wowote na akina Nyerere!! Your ideas can proof this and I'm confident with my coments.
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, [U]unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.[/QUOTE]
WANAFIKI NA ROHO MABAYA POTEEENI
Mimi naona wewe ni roho mbaya tu inayokutuma kuandika haya, na kama sikosei umezaliwa katika familia maskini si umaskini wa kipato ambao nao nao BILA SHAKA umechangia uwe kama ulivyo, lakini pia na umaskini wa mawazo. Ni Mtu mjinga tu na aliyelewa upumbavu wa kuzaliwa ndiye anayeweza kuandika hili. Unazungumzia ajali kazileta Lowasa hivi wewe una akili sawasawa. Nikueleze tu kwamba bodaboda zipo kwa mujibu wa sheria kama moja ya ajira kubwa kwa vijana na hata watu wazima. Tatizo lako ninaloona ni kwamba ulipewa kichwa kwa ajili ya nywele tu na si vinginevyo. Unakuja na hoja hafifu na rahisi kiasi hiki hili hata hao bodaboda wakukusikia watajua wewe ni punguani. Cdm wamesema lini walisema kwamba vijana wasifanye kazi, na kama ndivyo ilivyo basi hakipaswi kuwa chama cha siasa. Wacha porojo uchwala. Na kwa kweli nachukia WANAFIKI na WENYE ROHO MBAYA kama wewe. Na kwa hiyo basi namalizia kwa kuweka mambo 9 yanayonifanya nichukie manamba wa Unafiki na Roho mbaya kama wewe. Wasomaji mtanisamehe sana nayaweka kwa lugha ya kiingereza lakini naamini mtaelewa na kuwa mbali na watu dhaifu kama huyu
1. Loudness: The biggest reason for my hating haters is their violence. They dont try to convince you, but to shout you down. Of course, thats exactly why youre reading this; not for a reasoned argument, but in fact for the comments section shouting match that will shortly arise.
2. Too judgmental. Haters are too quick to condemn anything, person or place without really thinking things through. The automatic assumption is that nothing can be good, and that everything is worth hating. Pretty much like the assumptions Im making right now!
3. Trying too hard to be funny. Haters always try to bring comedy into their arguments and fail miserably. Their jokes turn out to be clichéd and dull
4. Boring writing style: Their articles are so sleep-inducing that reading them is like torture. Haters cant seem to express their hate in an articulate way, leading to even more hate by the readers. As I write this incredibly somniferous and boring hater, I am 100% sure that 99% of you would have skipped to the comments already.
5. Boredom: Haters totally lack joie de vivre and dont want others to enjoy life either. Just because they themselves clearly dont.
6. Anger against unimportant things: Haters will hate on you for wearing or not wearing skinny jeans, and watching or not watching some random TV show. No matter what you do, theyll hate on you for it. Just look, here I am hating on the haters!
7. Dullness: Hating and repeating yourself seem to go hand in hand. After two or three logical points they start plagiarising themselves. If you dont agree, try to read my last four points again.
8. Vocabulary: Instead of filling their articles with ideas and arguments they fill them with vocabulary. Every time Im reading them I have to swing between the article and a dictionary.
9. Jealousy: You only end up hating what youre a little (or more than a little) jealous of. Does this mean that Im jealous of people who can actually come up with 9 things they hate about anything? Possibly.
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Yeriko nakushauri uwe unatumia akili wakati mwingine. Ina maana huna kazi mkuu? Kwani Lowassa anahusiana nini na agizo la serikali?!
Unajishusha sana mkuu. Labda unijibu, waendesha bodaboda wanaenda posta kutazama vimini?? Haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa!! Katika ukoo wa Nyerere, hawezitokea mtu kama wewe. Bila shaka huna uhusiano wowote na akina Nyerere!! Your ideas can proof this and I'm confident with my coments.
Huyo Yericko Nyerere hatokei ukoo wa nyerere hata wanafamilia wa nyerere wanamkana
Anafanya hivyo kutumia jina hilo kujifurahisha tuh
Do not take him seriously..
=> Yericko Nyerere...!!!
=> I never thought...but I imagined or suspected u were MOST STUPID all over ur body & mind...now my imagination or suspicion WAS RIGHT...
=> Ur such a DEAD WALKING MAN....purely dead... spirit & mind....
=> Ur foolishness...hooliganism...arrogance...ignorance....
& political myopia is BEYOND ENDURANCE....
=> Shenzi kabisa ww... kisa cha kumwombea mwenzako KIFO..??? I believe u only carry vyeti tu kama umepitia chuo...kama hata huna elimu ya kutosha ur most stupid man of its kind.....MTU KAMA WW NDIO WA KWANZA KUTUMIA UPUMBAVU WAKO KUANZISHA VURUGU NA UMWAGAJI DAMU....
==> Ma------ yako ww...
wapi hujaelewa maalimu wangu?
Noted!, Huyu thread starter kiukweli kabisa sio mzima kichwani!.
Pasco