wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,290
- 3,946
Wanafiki wanaishi siku nyingi sana hapa duniani ili kushuhudia unafiki wao
huu uzi mbona 2017 unakuja hewani. au ni kwa minajili ya kumsuta mwandishi yericho nyerere. yericho ana roho ya paka. sijui anajisikiaje leo. lowassa yuko hai na mwenye siha nzuri tena ndio mmiliki wa chadema. yericho una uso wa chuma.Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Vipi huyo kijana alishapona wehu wake?...We kijana unawehuka sasa!
Bado anatiririka dhidi ya Lowassa?Titirika kamanda nyerere
Ndio. Una swali jingine?Vipi huyo kijana alishapona wehu wake?
Ha ha ha sasa hivi mko njia moja, si hasa hizi...We kijana unawehuka sasa!
Chadema inabidi wasimuite hata JPM kuwa dikteta uchwara maana Mbowe anaweza kubadili gia angani 2020 CCM na chadema wakaungana na mgombea wao akawa Magufuli.
Kwenye siasa chochote kinaweza kutokea.
Mola wangu Rabuka! Maneno ya kinywa changu yawe yameshapata kibali mbele yako ehhh Maulana Mola wangu!Tujifunze kuweka akiba ya maneno... Yani kumbe alimtabiria mauti!!?
Hahahaha kwa kweliLong live JF endeleeni kufukua makaburi tuu[emoji39][emoji39][emoji39]
Mbavu zangu jamani...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani huyu Yeriko anavituko kesi za defamation na cybercrime haziwezi kumuisha.Long live JF endeleeni kufukua makaburi tuu[emoji39][emoji39][emoji39]