Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
- Thread starter
- #121
Pumbafu weye utumbo hujibiwa na utumbo kweli wewe umelaaniwa hata mwili wako umesinyaa kwa choyo na husuda
Unapoteza muda tu kwa mrudio wa matusi hayo,

Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.

Kaka kuwa mzalendo bodaboda imekuwa mkombozi kwa watanzaia kwa kiasi kikubwa mmno.mfano bodaboda imekuwa usafiri wa uhakika kijijini .mtoa mada bodaboda hawaruhusiwi kwenda posta na kariakoo tu.sehemu zingine za high density zinaruhusiwa.kwako wewe binafisi ndungu zako wangapi kwenye ukoo wenu wanategemea bodaboda kama ajira au biashara?kwa kweli hii post ungeweka vizuri ningukukubali lakini kwa hili lowassa go go go to 2015
Nadhani jana tu mkurugenzi wa TCRA amezungumzia suala la matumizi mabaya ya mitandao ikiwemo ya kijamii kutoa lugha ya matusi,vitisho dhidi ya maisha ya mtu na maneno yanayoashiria uvunjifu wa amani kuwa ni makosa ya jinai na watashirikiana na kitengo cha polisi cha kuzuia uhalifu wa kimtandao kuwasaka hawa wahalifu.
Tunataka waanze na huyu mhalifu anayepanga na kuhamasisha mauaji kwenye mitandao.Tutafuatilia matokeo ya hili. Serikali isipomtafuta huyu aliyeleta hii thread na badala yake mh. Lowassa akauawa au akafa basi nitakua wa kwanza kuifikisha TCRA mahakamani. Haki itendeke huyu mleta mada aisaidie polisi kuna jambo analijua kuhusu mpango wa mauaji ya kuwaua vijana wa bodaboda au mpango wa kumaliza maisha ya Lowassa.
Na nitoe wito kwa watanzania wenzangu tusiwashabikie watu kama hawa wanaotumia hoja ya nguvu na kutoa lugha za ajabu huku kwenye JF ili kufanya hili jukwaa liendelee kutumiwa na waungwana.
Kama kweli hii nchi imefikia mahali pa kuwa na wasomi wa namna hii basi tena! Hivi wewe ukipewa bodaboda utakwenda kujiua? Kama mtaendelea kuwa na siasa uchwara kama hizi ni jambo la hatari sana. Hivi ni kweli kwamba watanzania hawahitaji matumizi ya bodaboda?Jamii ndio inayohitaji bodaboda sio Lowassa wala wanasiasa wengine. Nchi nyingi sana Afrika wanatumia bodaboda; sijui nao wamepewa na Lowassa?

Duuuh
Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana kama nzi wa masika,
Nilijua tu utajibu kama kawaida yako lakini utaona matokeo ya hizi pumba zako! Unafikiri kila mtu humu mtandaoni ni mwanasiasa?Mimi sijatumwa na na wanasiasa kama wewe.Silengi mtu wala Chama nazungumzia ustarabu humu mtandaoni na ukiendeleza huu uhuni wako utawaponza watumiaji wengine wa mtandao kwani sio muda mrefu hatua zitachukuliwa kwa sababu sheria ipo.
Kuwa mstarabu ,wewe ni msomi usilete siasa za ajabu halafu ndo tukunyamazie kwa sbbu tu unajua kutukana? Acha hasira za kujinyonga!i
Nyie wanachama wa vyama vya siasa ni wachache sana ndani ya watanzania milioni 45. Msituvurugie nchi kwa ushabiki wenu!
Mods naomba nimtukane huyu pimbi ili msinipige ban,nasubiri jibu.