Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Yericko amekuwa mdogo kama piritoni. Halafu mbona hajawahi kuwaeleza nini kilitokea kipindi kile "alipopotezwa"? Siku Chadema watapojua ukweli would be too late.
😎😎😎😎
Ni ujinga uliopitiliza kuchukua maneno ya
kampeni za uchaguzi mkuu 2015 huku
mitandaoni kuyaleta leo na kujengea
mjadala kwa lengo la kutathimini tabia ya
mtu.tukifanya hivyo hatabaki mtu
salama na zaidi tutakuwa kizazi cha
wajinga wa mwisho nchini
Lakini masikitiko yangu ni kunilingani na
huyo mzee Chahali, huyu ni mzee huenda
akalingana na baba yangu maana sasa
hivi naamini ana miaka 56, analingana na
lile kubwa jinga la Lumumba liitwalo Le
Mutuz, hivyo kunivweka kundi moja ni
kunidhalilisha na kunizeesha mie kijana
rijali kabisa ambae nina muda mrefu wa
kula bata mjini Daslam..
 
Yeriko leo kafulia kama maji ya mtungi, hasemi chochote kwa Lowassa
 
Baadae ukageuka Team Lowassa!

Tatizo letu kubwa zaid Ni Unafiki Kuliko Ufisadi
Hilo Yeriko hawezi kulijibu, nguvu ya pesa ni hatari sana, inasemekana Lowassa ndiye aliyemnunulia Shamba la kulima Matikiti huko Kigamboni
 
Hilo Yeriko hawezi kulijibu, nguvu ya pesa ni hatari sana, inasemekana Lowassa ndiye aliyemnunulia Shamba la kulima Matikiti huko Kigamboni
Kumbe ndiyo maana siku ndiye mlamba miguu mzuri wa Lowassa, kweli shida ni mbaya sana.
 
Siasa has never been about nani kasema nini, kwa nani, kwanini, kivipi na lini. Siasa has always been about you. Kwanini ni vigumu mno kwa CCM kuondoka madarakani? Kwa sababu hiyo. Badala ya siasa kuwa about wananchi wenyewe wanaofanya maamuzi, na wanaoumia pindi wakifanya maamuzi mabovu, wameendelea kuifanya siasa kuwa ni kuhusu vyama vyao, which essentially havina tofauti kubwa, kwa sababu vyote vinalitumikia tabaka tawala.
WAKATI UNABURUDIKA ,KUTIRIRIKA NA KUSEREREKA kama ndugu yetu GENTEMYCINE anavyosemaga hukututonya wenzako bali ulikua unacheza kibao kata na huu wimbo....

 
😎😎😎😎
Ni ujinga uliopitiliza kuchukua maneno ya
kampeni za uchaguzi mkuu 2015 huku
mitandaoni kuyaleta leo na kujengea
mjadala kwa lengo la kutathimini tabia ya
mtu.tukifanya hivyo hatabaki mtu
salama na zaidi tutakuwa kizazi cha
wajinga wa mwisho nchini
Lakini masikitiko yangu ni kunilingani na
huyo mzee Chahali, huyu ni mzee huenda
akalingana na baba yangu maana sasa
hivi naamini ana miaka 56, analingana na
lile kubwa jinga la Lumumba liitwalo Le
Mutuz, hivyo kunivweka kundi moja ni
kunidhalilisha na kunizeesha mie kijana
rijali kabisa ambae nina muda mrefu wa
kula bata mjini Daslam..
Mkuu, mbona Chahali alikuwa anamjibu Yericko! Si umuache Yericko mwenyewe ajitetee! Au wewe "gost" ndiye Yericko, lakini hapa ulijisahau kwa kurespond ukitumia id nyingine?
 
Maneno mengi ya wanachadema kwa Lowasa kabla ya uchaguzi wa 2015 na kwenye uchaguzi wenyewe.

Yalinifundisha kuwajua wapinzani wa Tanzania wanapambania nini.

Kifupi hakuna mpinzani mwenye msimamo kwenye kile anachoamini ila wanaangalia fursa zilipo.

Nasisitiza hakuna hakuna kama yupo hai nitajiwe nimjue.
 
Back
Top Bottom