Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Chadema inabidi wasimuite hata JPM kuwa dikteta uchwara maana Mbowe anaweza kubadili gia angani 2020 CCM na chadema wakaungana na mgombea wao akawa Magufuli.
Kwenye siasa chochote kinaweza kutokea.
Isha kuwa hiyo!
 
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Yaani Yeriko unamwita Lowassa muuaji na unamuombea kifo, afe afe na kusahaulika kama Mejavic...
Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Hivi wewe na Lowassa mnaangalianaje huko Chadema [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mnafiki ana ndimi zaidi ya mia moja.

Ila wale wanaojulikana wanajiua wenyewe kwa sasa.
Yaani Yeriko unamwita Lowassa muuaji na unamuombea kifo, afe afe na kusahaulika kama Mejavic...
Ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Hivi wewe na Lowassa mnaangalianaje huko Chadema [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
JF kiboko ya MASHILAWADU.... Chadema ni watu wa kupuuzwa milele maana wamegeuka walamba matapishi na watu wa hovyo kupindukia. Dr. Slaa ndiye aliyekuwa mtu makini upinzani. Tuliwaonya hawakusikia. Ukiwa mwendawazimu ndio utawashabikia hawa jamaa vinginevyo njaa kali.
 
Back
Top Bottom