Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,762
tunaliamsha
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Watanzania wengi ukiwauliza wanasimamia nini majibu yatakushangaza.Njaa mbaya sana.
Leo mnampigia magoti huyu mzee.
leo ni 2017 Unajisikiaje kwa Kuandika hii article...... hii ndiyo raha ya fasihi ANDISHI..... hudumu milele...Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,
Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,
Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,
Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,
Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,
Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,
Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.
Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.
Na kibaya zaidi ni Yericko huyo huyo ndio yumo kwenye kitengo cha propaganda za kumsafisha huyo huyo Lowasa waliemchafua vibaya! Ama kweli Machadema hawana dira wala lengo, wanaishi kwa matukio tu.huu uzi mbona 2017 unakuja hewani. au ni kwa minajili ya kumsuta mwandishi yericho nyerere. yericho ana roho ya paka. sijui anajisikiaje leo. lowassa yuko hai na mwenye siha nzuri tena ndio mmiliki wa chadema. yericho una uso wa chuma.
Anajua kabisa, na nadhani ndio maana akawafuata huko huko ili walipie maouvu waliomfanyia wakianza kwanza kwa kumsafisha, na hatujui what's next!Hivi Lowassa hajawahi kuona kuwa chadema ndio waliodondosha toka kwenye uwaziri mkuu na pia kusababisha kutoswa ugombea urais kupitia CCM 2015?
Siasa mchezo mchafu.
mkuu hili kaburi limeibua mawazo ya msukule wa kigamboniNani kafukua hili kaburi?
unafiki ni hatari kuliko Ukimwi mkuuhuyu yeriko ana roho mbaya sana, yaan alifikia hatua hadi unamuombea kifo lowassa?? haikuwa fair kabisa, alafu Leo unajifanya eti mabadiliko
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bado unashangaa sana mpaka sasa hivi?YERICKO NYERERE una akili sana ! kwenye hili unayo hoja TENA NZITO SANA , NIMEONA KWA MACHO YANGU , MWENDESHA BODA BODA AKIWA AMEVAA FULANA YA KIJANI MPAUKO IKIWA NA MAANDISHI MGONGONI ( BODABODA DAR ES SALAAM , DONATED BY EDWARD LOWASA ) , ILIKUWA NI JUMATANO SAA 9 MCHANA MAENEO YA VETA KAWAWA ROAD , NIKASHANGAA SANA !
umeendelea kuonyesha wehu wakoWakati Yeriko anamsemea Lowassa haya maneno yasiyofaa kuna mliokuwa mnamtetea Lowassa! Lowassa alipohamia CHADEMA mmemgeuka mnampinga wakati Yeriko amegeuka anamuunga mkono....mna tofauti gani nyie?! Mzee wa push-up alipokuwa anawaahidi kuwa ataunda mahakama ya mafisadi kwa sababu wameiumiza nchi hii mlikuwa mnarukaruka kwa shangwe! Sasa hivi kwa nini yeye wala ninyi hamuiongelei hiyo mahakama? Sasa hivi hamsemi lolote kuhusu nyoka wa makengeza, ni mwenyekiti wa bunge lenu tukufu...lakini akihamia upinzani itakuwa balaa. Lowassa hadi 2015 alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje, hebu tuonyesheni mlimpinga wapi? Sisi wengine tunachotaka ni kuwa na serikali yenye kuwajibika kwa raia, yenye kusimamia sheria kwa haki. Yeyote anayestahili kushitakiwa ashitakiwe na apewe stahili yake bila kujali ni Lowassa au ni nani, bila kujali ni ccm, upinzani au hana chama. Msituambukize ule ugonjwa wa dom kuwa akitukana wa upinzani anaadhibiwa, ila akitukana wa ccm hakuna tatizo!