Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
acha wavuane hata boxerJamani tusifukunyue ya nyuma, mnavuana nguo hadharani!!!
acha wavuane hata boxerJamani tusifukunyue ya nyuma, mnavuana nguo hadharani!!!
Mkuu cdhani kama kuna chama cha upinzani duniani chenye wanachama mazwazwa kama ChademaIkitokea Mbowe akatangaza Magufuli siyo dikiteta, vijana watajazana JF kumsifia kamanda wa anga kwa tamko lake, sijui kawalogea wapi huyu mtu.
acha wavuane hata boxer
Duuh! hilo tukio lilitokea wapi la huyo jamaa katikati ya CCM?
Wino ni kitu cha ajabu sana kinaokoa na kuumiza kwa waqt mmoja. Mzee Thabit Kombo alisema watu waweke akiba ya maneno.Nani kafukua hili kaburi?