😀😀😀😀 Awamu hii number zimeanza kusomeka haraka sana na bado mpaka kama kenge mpaka damu zitoke ndiyo huwa anapata akiliMi nikajua unazungumzia HELA YA KUJIKIMU kwa walimu wapya mwaka 2020.
MISITA TENA.
😀😀😀😀 Awamu hii number zimeanza kusomeka haraka sana na bado mpaka kama kenge mpaka damu zitoke ndiyo huwa anapata akiliMi nikajua unazungumzia HELA YA KUJIKIMU kwa walimu wapya mwaka 2020.
MISITA TENA.
Walimu na nyie acheni kilalamika kupita kiasi mnaonekana wajinga kwa ni kada gani imeongezewa mshahara?mbona wenzenu wamekaa kimya ?KILIO CHA WAALIMU NCHINI TANZANIA!
Nimepokea waraka kutoka kwa mmoja wa waalimu akiwawakilisha waalimu wenzake. Kwa sababu za unyeti wa maudhui ya waraka huo, kiapo changu cha Uaskofu kinaniruhusu kutokutaja jina la mtu aliyeniletea! Nimeamua kuuchapa waraka huo katika ukurasa wangu ili kusaidia kilio cha waalimu kuwafikia wahusika na jamii kwa ujumla!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
"Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Heri ya Mwaka Mpya 2021. Nataka nikueleze kuhusu kilio cha walimu wa Tanzania kwa sasa.
Kilio kikubwa cha walimu ni madaraja. Kama unavyofahamu, mishahara katika Utumishi wa Umma haijaongezwa kwa miaka 5 iliyopita, hivyo tegemeo kubwa la walimu ni kupanda madaraja lakini nako ni kugumu.
Mathalani, wako walimu wa ajira mpya wa mwaka 2014, hawa ilikuwa wapande madaraja mwaka 2019 (mwaka 1 probabation +miaka 4 ya kutumikia cheo). Wapo walimu waliopanda madaraja 2015, hawa walipaswa kupanda 2019 baada ya kutumikia cheo kipya kwa miaka 4 lakini hawajapanda na hakuna dalili za kuwapandisha.
Chama cha Walimu (CWT) kipo kimya, hakuna wa kuwasemea Walimu wa Tanzania. Walimu nao wapo kimya, wanaogopa. Utumishi wa Umma umekuwa mzigo mzito ndani ya awamu hii ya uongozi. Naomba Baba Askofu, lizungumzie hili jambo pengine wenye mamlaka watasikia na kutendea kazi!
Ni mimi Mwalimu."
Sasa utamwitaje mwenzio mnafiki wakati wewe mwenyewe hukuona sababu ya kudai mabadiliko?Mwalimu amelazimishwa na dola akabadili matokeo akiogopa nguvu ya dola, wewe tumekubaliana utoke tuandamane kupinga kilichotokea ukajificha chooni ukiogopa nguvu ya dola. Sasa hapo ukihesabu wanafiki unawapata wangapi?sikuona sababu ya kuandamana
Hapo sasa umenena sawasawa kabisa. Tatizo letu si walimu. Walimu watu wanawaonea bure tu.Tatizo letu ni mifumo mibovu ya uchaguzi.Nilichokitarajia ndicho kilichotokea ndo maana sikuandamana...unaenda kwenye uchaguzi na tume hii ya kipumbavu afu utegemee ushindi kweli??,
walimu wanatumika Kama kondomu miaka yote...lakini hawabadliki na hawana msimamo..Hapo sasa umenena sawasawa kabisa. Tatizo letu si walimu. Walimu watu wanawaonea bure tu.Tatizo letu ni mifumo mibovu ya uchaguzi.
Haya hamkuyajua kabla ya uchaguzi?Kaeni kimya Tufanye maendeleo. Lakini vitu vingine vinatia hasira mshahara ule ule mdogo umeongezewa makato alafu wao wanajilipa mishahara minono na posho juu
Hao waanzishe familia,Maisha yasonge hayo mengine wasahau kwa sasa.Na vipi kuhusu wadogo zetu waliohitimu vyuo tangu mwaka 2015 hawajaajiriwa mpaka wanaanza kuzeeka?
Walimu na mapolisi sio wa kuonea huruma wapigikapo na msoto,Kama ni kuni wasaidie wakata kuni waongeze magogo makubwa kabisa ya kuni Ili wakokeke vizuri kabisa.Walimu wa nchi hii Sina huruma nao. .
kwa nchi hii ualimu ni laanaUalimu si laana Mkuu. Wanastahili heshima kubwa sana hawa lakini hii Serikali haramu ambayo haikupewa ridhaa na Watanzania imeamua kuwadharau sana Walimu.
Mkuu unandika haya kwa kujiamini naomba nikulize swali?. ulipiga kura 2020?. soo stupid unabwabwaja humu KURUSHA lawama na kura hukupiga ulitaka CCM iangushwe na bibi ako? ...nimesimamia uchaguzi Mkuu 2 times VIJANA WA bongo mbwa kabisa wanashinda vijiwen tu kuinanga serikal kura hapigi afu utasikia hata tukipiga zinaibiwa,, Any way UNAWEZA kutupa evidence jinsi walimu wanavyoiba hizo kura?Walimu na mapolisi sio wa kuonea huruma wapigikapo na msoto,Kama ni kuni wasaidie wakata kuni waongeze magogo makubwa kabisa ya kuni Ili wakokeke vizuri kabisa.
Hawa ndio wanaiweka ccm madarakani.
Ujui kitu pita kushotoMkuu unandika haya kwa kujiamini naomba nikulize swali?. ulipiga kura 2020?. soo stupid unabwabwaja humu KURUSHA lawama na kura hukupiga ulitaka CCM iangushwe na bibi ako? ...nimesimamia uchaguzi Mkuu 2 times VIJANA WA bongo mbwa kabisa wanashinda vijiwen tu kuinanga serikal kura hapigi afu utasikia hata tukipiga zinaibiwa,, Any way UNAWEZA kutupa evidence jinsi walimu wanavyoiba hizo kura?
Jibu hili,Mkuu unandika haya kwa kujiamini naomba nikulize swali?. ulipiga kura 2020?. soo stupid unabwabwaja humu KURUSHA lawama na kura hukupiga ulitaka CCM iangushwe na bibi ako? ...nimesimamia uchaguzi Mkuu 2 times VIJANA WA bongo mbwa kabisa wanashinda vijiwen tu kuinanga serikal kura hapigi afu utasikia hata tukipiga zinaibiwa,, Any way UNAWEZA kutupa evidence jinsi walimu wanavyoiba hizo kura?
😂😂😂😂yuko bafuni anapiga puli huku analaumu hovyohovyo wakati kura hajapiga. Anategemea CCM iangushwe na bibi yakeMkuu unandika haya kwa kujiamini naomba nikulize swali?. ulipiga kura 2020?. soo stupid unabwabwaja humu KURUSHA lawama na kura hukupiga ulitaka CCM iangushwe na bibi ako? ...nimesimamia uchaguzi Mkuu 2 times VIJANA WA bongo mbwa kabisa wanashinda vijiwen tu kuinanga serikal kura hapigi afu utasikia hata tukipiga zinaibiwa,, Any way UNAWEZA kutupa evidence jinsi walimu wanavyoiba hizo kura?