Kilio cha Walimu nchini (mwaka 2021)

sijaendelea kusoma , sasa hiki ni kilio cha mwalimu mmoja halafu akawakilisha wenzake pengine wadarasa moja wa shule moja, wa wilaya moja ya mkoa mmoja, Baba askofu unazingua ujue .....
 
Ujui kitu pita kushoto
Acha utoto wa Facebook hapa ni jamii forum where we dare to talk openly ,,ELEZA hapa Mada iwe " Jinsi gani walimu wanashiriki wizi wa kura!.. sio unajibu kihuni kihuni kama unaongea na wavuta bangi wenzio,, Jenga hoja kujibu hoja!.. Eti na hawa ndo VIJANA tunao wategemea walete mabadiliko!... I bet huna unachokijua ila unajiveka ujuaji so what? wabongo bana?.
 
Kama ujui zinavyoibiwa endelea kutojua,
 
Back
Top Bottom